Mwanamke hujisikia vizuri kihisia kutokana na maongezi mazuri na mume wake na kwa kutimiziwa hitaji lake la kuwa karibu na mume wake kwa maongezi hujisikia anapendwa. Mume asipotoa nafasi kwa mke wake kwa kuongea na kutenga muda kwa ajili yake, mke hupata signal kwamba hapendwi na mume wake na pia mume hamjali. Na mume naye akinyimwa tendo la ndoa na mke wake hupata signal kwamba mke hamjali na hamheshimu katika kumtimizia mahitaji yake.
Chris JR
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/mwanamke-hujisikia-vizuri-akifanyiwa.html
No comments:
Post a Comment