Wednesday, February 26, 2020

Mwanamke hivi unajua kuwa MWANAUME ANASIKIA RAHA ZAIDI AKIKUTAZAMA KABLA HATA HUJAMPA NAFASI YA KUUTAZAMA UTUPU WAKO.

Mwanamke fahamu jambo hili litakulinda daima;
Mimi sijui kama ni TEMBEA YAKO ama ni vile UNAVUTIA😂😂
Inawezekana Mwanaume akakupenda zaidi hata kabla ya kumvulia nguo👙
Kuamini hilo ni wewe mwenyewe kujiuliza MWANAUME ALIKUPA AMANI WAKATI UPI KATI YA KABLA HUJAMVULIA NGUO AMA WAKATI UMEMVULIA NGUO😂😂
Japo najua udhaifu wa Mwanaume ndo maana naweza kukiri wazi MWANAMKE HUMPENDA MWANAMKE KABLA YA KULALA NAE💯 na akiisha kuwa amelala nae HUKINAI maana yawezekana hakuna jipya baada ya kupata lililo hitimisho 👙
Muda Mwingine haya MAPENZI ni kama BAHATI unaweza kuwa huna wazo la kuingia penzini lakini akaja Mtu wa hisia zako ukajikuta UMEZAMAAAAA👌
Lakini usiyajaribu MAPENZI kwani yakiwa sio yako utapata taabu sana, Maana KIPENDA ROHO KULA NYAMA MBICHI ila nikwambie wazi ni hasara kubwa KUPENDA USIPOPENDWA😭😭
#Elista_kasema_ila_sio_sheria 🔨


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/mwanamke-hivi-unajua-kuwa-mwanaume.html

No comments:

Post a Comment