Monday, February 24, 2020

Mwanamke fahamu jambo hili;


•MWANAUME HAKUPENDI KWA UZURI NA MUONEKANO WAKO BALI ANAKUJA KWAKO AKITAKA KUJUA KAMA NJE UKO HIVYO JE NDANI KUPOJE? Na huo ndo ujinga wa kiumbe kiitwacho MWANAUME...
Ni rahisi Mwanaume kujishusha kwa Mwanamke akiwazia YALIYOJIFICHA πŸ‘™ NDANI MWAKO na ndo maana Mwanaume anaweza kumtongoza Mwanamke miaka miwili ila akikubaliwa anatimiza haja yake japo kwa BAO MOJA TUUU halafu anasahau yote alokuahidi na kukuvuta uwe wakeπŸ˜‚πŸ˜‚
Niamini kwa neno hili;
•MWANAUME KUKUBEMBELEZA SIO UPENDO kuna wakati anazidiwa na MFADHAIKO hata akajikuta anajishusha kwakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ili kujua japo ka UPENDO ❤️KADOGO KA MWANAUME ITAFUTE HURUMA YAKE KWAKO na hapo unaweza kubaini sehemu uliyopo kama ni salamaπŸ’―
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria πŸ”¨olooowow
o


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/mwanamke-fahamu-jambo-hili.html

No comments:

Post a Comment