åMiaka inaenda siku zinaenda wadogo zako wanaoa na kuolewa wanakuacha, rika lako wanaoa na kuolewa wanakuacha, wakubwa zako wanaoa na kuolewa wanakuacha. Ndo umebaki peke yako unajiuliza why me??, Umeshamlilia Mungu umekata tamaa huoni majibu....
åKaa chini anza kujifanyia uchungunzi, chunguza maisha yako, chunguza mienendo yako. Mungu hawezi kukupa mke au mume kama maisha yako hayana hadhi ya wew kuwa mume au mke, Lazima kuna vitu vinatakiwa kurekebishwa Ili Mungu aachilie huyo mume/mke.
πPengine umeshasema Mungu amekusahau,Pengine umeshasema Mungu wetu hajibu.
πPengine umeshasema Mungu wetu ni wa maigizo,Pengine umeshasema Mungu hana mpango na wewe.
πPengine umeshajiona si lolote wala si chochote mbele za Mungu, Pengine umeshajutia kuzaliwa.
πEwe kijana Acha MAJUTO, Acha LAWAMA huenda ndoa yako umeizuia mwenyewe!!
>>Fuatana nami hapa nazan utapata suluhu... Lifestyle!!!!!!? Aina ya maisha unayoishi ndio yanafanya wew kuwa hapo ulipo au kuwa hivyo ulivyo.
>>Huenda hujui ila nataka nikujuze kuwa kuna aina ya maisha ndo yanafanya wew kukosa mke au mume yaan pini unajiwekea mwenyewe, alafu unasema umelogwa.
π•Hivi unajua account yako ya facebook inaweza kukunyima kuoa au kuolewa??
π•Hivi unajua maisha yako ya kwenye social networks yanaweza kukunyima kuoa au kiolewa??
π•Hivi unajua unaweza kuwa maarufu sana kwenye mitandao, unaweza kuwa mtu wa watu sana, unaweza kuwa na wafuasi zaidi ya million moja lakin kati yao usipate mume wala mke??
π•Hivi unajua kuna aina ya watu unaishi nao ndio wameblock milango ya ww kupata mke au mume??
π•Hivi unajua kuna makundi ya watu yamekuzunguka ndo yanafanya wew ukose mume au mke??
π•Hivi unajua kuna watu ambao unaongozana nao ndio wanakwamisha ujio wa mume au mke kwenye maisha yako??
π•Hivi unajua aina ya maisha unayoishi mtaani au kijiweni ndio yanakunyima mke au mume??
π•Hivi unajua kuna mavazi unavaa ndio yanakunyima mke au mume??
π•Ni wakati wako sasa wa kuoa au kuolewa, Jiondolee pini maishani mwako. Badili system ya maisha yako, Ishi kama mtu mzima, Achana na maisha ya kitoto, maisha ya kihuni. Kaa kwenye mstari wa mtu anayehita mke au mume nina hakika utap
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/kijana-unakosa-mke-au-mume-hii-inakuhusu.html
No comments:
Post a Comment