Monday, February 24, 2020

Mwanamke ili awe kwenye maana ya UBAVU WA MWANAUME yampasa kuwa hivi

Mwanamke ili awe kwenye maana ya UBAVU WA MWANAUME yampasa kumchukuwa Mwanaume kama Msimamizi wa FURAHA YAKEπŸ’ƒ
Na sio kama ambavyo wanawake wengi wanamchukuwa MWANAUME awe sehemu ya maisha yao, Mwanaume akiwa sehemu ya maisha ya Mwanamke lazima hataweza kumpa FURAHA MWANAMKE...
Kwa nini nasema hivyo πŸ€·‍♂️
 MWANAMKE ILI AISHI KWA AMANI ANAWAJIBIKA KUWA NA MWANAUME AMBAYE ATAJUA FURAHA YA MWANAMKE WAKE INATOKANA NA NINI.
Kwa sababu hiyo tambuwa Kwamba WANAUME WALIO WENGI WANAAMINI NI MWANAMKE AKIISHAKUBARI KUWA MKE AMEKUWA CHINI YA MAMLAKA YAO ni kweli ndivyo ilivyo ila shida yangu katika hilo:-
 WANAUME WENGI WANAOA KWA KUANGALIA FAIDA ILIYOKO KWA MWANAMKE.
Je ikiwa Mwanamke ameolewa na yeye ndo anasimamia majukumu yote ya familia wakati huo huo Mwanaume harudishi japo UPENDO πŸ’˜ WA DHATI πŸ’• ili kumpa FURAHA MKEWE Ina maana gani kwa Mwanamke huyo kuona UMUHIMU WA MWANAUME πŸ€¦‍♂️
Elimu kuu wanayoipata wanawake wa sasa namna ya ku-handle ndoa zao wanajifunza kwa KUNGWI "kitchen party" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwanamke amesoma ana kazi nzuri unakuja KUMFUNDISHA namna ya kuvumilia mateso ya ndoa bila kujua anae muoa ni mtu wa aina gani INASAIDIA NINI ELIMU YA KUMFUNDA AKAKATE KIUNO kwa mtu aliyekwenda kwake kwa kutaka kitu πŸ€”
Vilio vingi kwenye NDOA ZA SASA ni Mwanamke kukosa FURAHA NA AMANI kiasi kwamba anapitia magumu huku akiitazama JAMII pamoja na FAMILIA πŸ‘ͺ YAKE Yaani ndugu na kujikuta ANAKOSA UJASILI WA KUSEMA IMETOSHA πŸ˜­πŸ˜­
Akiangalia tayari ana mtoto kama sio watoto, ana kiwanja kama sio nyumba, Kwa hakika anabaki kutazama hayo na kukosa namna mwisho kabisa ni yeye KUWA MHANGA WA MAPENZI πŸ˜­
Nahihitimisha kwa kusema :-
 Kila BABA, MAMA aliye na Mtoto wakike akae na binti yake kwa kumwambia ikiwa atafikia wakati wa kuhitaji MAHUSIANO na baadaye NDOA asimpe nafasi Mwanaume kama MTU WA MAISHA YAKE bali ampe nafasi Mwanaume kwa ajili ya FURAHA YAKE ili ukikosa FURAHA ujiongeze.
Unajua kwanini wanaume hawaumii sana na MAPENZI kuliko wanawake?
Mwanaume tangu anakutongoza ANAWAZIA STAREHE KITANDANI na sio kama utakuwa Mwanamke wa MAISHA YAKE πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria πŸ”¨


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/mwanamke-ili-awe-kwenye-maana-ya-ubavu.html

No comments:

Post a Comment