Monday, February 24, 2020

MWANAUME HATAWEZA KUMPENDA MWANAMKE IKIWA ATAMTAZAMA KWA MATAMANIO YA MWILIπŸ’―


Kwanza naomba nieleweke UPENDO πŸ’˜ UNA TAMAA japo kwa 65% tatizo la TAMAA ya kiume ni wazo la STAREHE hapo ndipo tamaa ya Mwanaume hukosa mashiko.
Kwanini Mwanamke analo PENDO πŸ’˜ LA DHATI?
 MWANAMKE HUPENDA KWA TASWIRA YA KESHO YAKE WALA SIO KWA LEO ALIYOPO.
Na hapo ndipo utanielewa kwamba TAMAA YA MWANAMKE NI KUMMILIKI MWANAUME πŸ’―
Ninapozungumzia TAMAA YA UPENDO πŸ’ž namaanisha kwamba Mtu aijue THAMANI YA MWENZA WAKE na kumfanya wa maana kila siku na hapo ndipo atakosa USHAWISHI WA MATAMANIO MENGINE kama ilivyo kwa MWANAMKE Kwani wao ni nature yao, Ukiona Mwanamke ni mwingi wa HABARI ujue kuna anguko la Mwanaume limemfikisha hapo πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni kweli kabisa WANAWAKE NDO WENYE SHAUKU YA MAPENZI KULIKO WANAUME ila wao walipewa kitu cha THAMANI NDANI YAO:-
 Mwanamke mpaka ahitaji TENDO LA NDOA ni pale moyo wake unapokuwa umefunguka juu ya UPENDO kwa Mwanaume.
Mwanamke kama hajakupenda kwa MOYO πŸ’– anaweza kuwa muongo kuliko Mwanaume, Lakini Mwanamke AKIKUPENDA lazima awe MJINGA KWAKO πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukiona Mwanamke anakuwa mjanja mjanja kwako ujue HANA UPENDO πŸ’˜ WA DHATI πŸ’• KWAKO ila anajaribu kutafuta weekness yako ili AKUVAMIEEEπŸ˜‚πŸ˜‚
Mara nyingi udhaifu wa Mwanaume ni kutaka ILE INAMEZAGA MWENZIE πŸ˜Ž ndo maana hata SAMSON alianguka kwa DELILAH πŸ€΄
Mwanaume akimpenda Mwanamke hatawazia NGONO bali atamuangalia Mwanamke kama DIRA YA MAISHA YAKE na hapo utamuona Mwanamke AKIFURAHIA maisha ya NDOA yake, Mwanaume nature yake huanza kumeza mate kwa ku-imagine UBORA ULIOMO NDANI YA NGUO πŸ‘™ MWANAMKE AMEVAAπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria πŸ”¨


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/mwanaume-hataweza-kumpenda-mwanamke.html

No comments:

Post a Comment