Kwa sasa MAHUSIANO na NDOA nyingi ili Mwanaume amheshimu Mkewe etiii lazima MWANAMKE AWE NA PESA🤔
Na hilo ndilo anguko kuu la MAHUSIANO PAMOJA NA NDOA za sasa, Mama na Bibi zetu walipata kibali cha NDOA kwa Sababu na Maana moja tu;
• TASWIRA YA MAMA YAKE.
Zamani Mwanamke alipata Mume kwa kufuata Malezi pamoja na elimu itokanayo na Mama yake, Kitu ambacho ni tofauti kabisa na Mwanamke wa sasa japo naamini Wamama wenye kutaka UTULIVU WA NDOA ZA MABINTI ZAO WAPO ila sio wengi, Binti wa leo anaanza harakati za NDOA bila hata Mama yake kujua na akijua hata akipinga haina maana kwani unakuta binti ndiye aliyepanga kuolewa na Mwanaume😂😂
Kwa sasa kitu kinaitwa UPENDO WA DHATI KWA MWANAUME ni bidhaa adhimu wala sio jambo la Mwanamke kujivunia maana WANAUME WA SASA WAMEJUA HITAJI LA WANAWAKE hata wakaingia kwenye USANII yaani neno NAKUPENDA linatamkwa na WANAUME WOTE huku namba ya Wanaume wakweli kubakia kuwa NADRA💯
Mwanamke akiwa mbeba maono wa familia yake maana yake ataweza kuwa na UTII kwani MWANAUME ANABAKIA KUWA KICHWA CHA NYUMBA💪
Lakini kama Mwanamke ndiye atamiliki MAMLAKA YA FAMILIA kuwa na kipato zaidi ya Mumewe niamini HATAWEZA KUMTII MUME💯
#Elista_kasema_ila_sio_sheria 🔨

source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/kama-kweli-mahusiano-ama-ndoa-yako-ni.html

No comments:
Post a Comment