Monday, February 24, 2020

*Ujumbe Kwa Wasichana Wazuri na Warembo, Ni Muhimu Kufahamu Hivi*


Image may contain: 1 person
πŸ“πŸ“Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako hauwasumbui kama bichwa lako ni kanyaboya, uzuri wako hausaidii kitu, na utashangaa no one is paying attention, watu utakaowapata ni walewale kanyaboya wenzako, na hawana future utabaki unaliwa bure kila siku unatoa macho.

πŸ“πŸ“Ukipata mwanaume anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu danadana, madai yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni mzuri, la hasha Mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa uzuri wako mheshimu, maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu anataka, sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako, maana hicho ndo kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo.

πŸ“πŸ“Watch out drama zina mwisho, leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa usidhani wanaume hawaumii, wanaumia sema hawasemi tu, machozi yao kama ya samaki.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/ujumbe-kwa-wasichana-wazuri-na-warembo.html

No comments:

Post a Comment