Ukiwa kwenye mahusiano hakikisha upo kwenye mahusiano ambayo unaona kabisaa kuna hatua yanapiga kila siku...sio upo kwenye mahusiano tangu ufurahie siku za mwanzo zile za kubebishana huku kunakoendlea ni MUNGU saidia tu/mulianza kwa mbwe mbwe za kupigiana simu mpk saa saba usiku/kila saa ulikuwa ukishika simu unakumbana na text zake zaidi ya kumi/ila sasa mambo yamebadilika /ukimumbia mbona siku hizi umechange utasikia mbona mi niko sawa/au utasikia ratiba yangu imebana kishenzi yaani/au utasikia mi nakupenda hofu yako tu/akibadili sana kauli utasikia huwa nachoka sana ko muda mwimgi natumia kupumzika/mtu huyhuyu mwanzo alikuwa anakupetipeti mpka ukahisi dunia kama paradiso/cha ajabu bado una matumaini makubwa ya ndoa ndugu yangu kama ni mwanaume anakufanyia hivyo don't waste your time...move on kimya kimya..wala usimuage ..ukikomaa sana utaishia kumvualia nguo miaka nenda rudi na utambulia patupu/ila pia kama ni mwanamke anakufanyia hivyo brother kuna mtu kaisha kabalofu/utakuwa unapigwa vizinga visivyo na idadi ili akukomoe tu/kama zamani akija kwako alikuwa anajigharamia nauli usishangae ukimuambia aje kwako unapewa bill mpaka ya kunywa maji njiani/hichi ndio kifo cha penzi..#jiongeze...hapa usihangaike kumtafuta kibonde..fulldoze unayo/jua nyakati ndugu yangu.upofu wa kutoona maovu ndio chanzo cha kupoteza muda kwenye relationship
#kibxx
#kibxx
Counsellor
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/ukiwa-kwenye-mahusiano-hakikisha-upo.html
No comments:
Post a Comment