Tuesday, February 25, 2020

KWANINI MAHUSIANO NA NDOA ZA SASA ZINAPATIKANA KWA MIZANI YA UWEZO✍


Kwa sasa ili upate Mtu wa kukupa RAHA YA DUNIA YA MAPENZI unawajibika kujipima nafasi uliyopo lakini pia uwe unamzidi nafasi Mtu huyo ama wewe uwe chini yake na yeye akuzidi uwezo walau mnaweza kufikishana kwenye ALA ZA ROHOπŸ‘Œ
Mapenzi ya Sasa yanatawaliwa na UBINAFSI kwamba mtu anapanga kukidhi haja zake yeye wala hana wazo kwa upande wa pili unaoleta STAREHE HUSIKA πŸ’―
Sio Mtu Mke wala Mtu Mme kila mmoja anajitazama mwenyewe na kuamua kumchukuwa mtu ambaye atakamilisha HITAJI LA MWILI WAKEπŸ‘™
Mwanamke anamtafuta Mwanaume aliye chini yake ili amnunue kwa sababu zake, Vivyo hivyo Mwanaume anatafuta Mwanamke ambaye atampa chochote ili akampe BURUDANI ndipo unabaini kwamba MAPENZI YA DHATI HAYAPO na kama yapo basi ni bahati kuyapataπŸ˜‚
Mwanaume mwenye pesa kamwe hamtaki Mwanamke mwenye pesa unaijua sababu ya hilo?
• STAREHE YA MAPENZI NI KUJITUMAπŸ’― Mwanamke na pesa zake anaanzaje kukata mauno ili ampagawishe Mwanaume? Vivyo hivyo Mwanaume ana pesa zake anaanzaje kuzama chumviniπŸ˜‹
Ukiona uko na Mpenzi ana pesa na anakupa kila aina ya UFUNDI ujue huyo KAFIKA kigoma mwisho wa reliπŸš‚
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria πŸ”¨


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/kwanini-mahusiano-na-ndoa-za-sasa.html

No comments:

Post a Comment