Monday, February 24, 2020

MAPENZI AKILI🧠


Mwanaume yeyote ajuaye THAMANI YA MWANAMKE humpa AMANI na kutafuta sababu impayo FURAHA na mwisho kabisa huiandaa akili ya Mwanamke huyo kwamba LEO BABA ANATAKA KUTELEZA⛷️
Wanaume wengi wanajikuta hawaoni tena kile walikitarajia wakati wanakutana na Mwanamke, Kwanza unakutana na Mwanamke hujui hata changamoto anazopitia kwenye maisha yake ila kwa TAMAA unatamani kama ukaone ALAMA V pale kati ðŸ˜‚
Wanaume walirogewa mwili wa Mwanamke wallah wakiona hiyo kituuuajiwezi tena, unajua ni kwanini Mwanaume ANATAMANI MWANAMKE KWA KUMUONA?
Sababu ni ndogo tu:
 MWANAMKE ANAVUTIA ZAIDI KWA NAMNA UNAVYO MFIKIRIA.
Ndo Maana Mwanaume asipoweza kujizuia na MIHEMKO PAMOJA NA FIKRA ZAKE JUU YA MWANAMKE hataweza kumuandaa Mwanamke ki akili na hapo ndipo atakosa ile RADHA ALOKUWA AKIITARAJIA🤔
kwa sababu UTAMU WA MWANAMKE unatokana na vile alivyoandaliwa huku akiwa na AMANI pamoja na FURAHA kwa kile anachokifanya😂
Sasa wewe jifanye MJUZI huku Mwanamke hana AMANI kama utashuhudia kile ulikiona KABLA HAJAVUA NGUO ðŸ‘™
Mwili wa MWANAMKE ni msikivu sana tena unasikia vizuri ikiwa utajua KUUZIBUA ðŸ’¯
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria ðŸ”¨


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/mapenzi-akili.html

No comments:

Post a Comment