Thursday, February 27, 2020

JITIBU MWENYEWE TATIZO LA NGUVU ZA KIUME


Hii hapa ndiyo dawa ya kutibu nguvu za kiume/punyeto na kuongeza uume wako
Kutokana na matatizo ya nguvu za kiume na watu kuhitaji kuongeza maumbile ya kiume bas leo hii nimeamua kuwaletea sehemu ndogo tu ya mbinu za kutibu nguvu za kiume na kuongeza ukubwa wa umee
TIBA YA PUNYETO
Sasa nakuja kwenye punyeto na kutibu hilo tatizo na kuwa nguvu za kiume kama kifaru dume
Pia wenye tatizo la nguvu za kiumee tumieni hizi mbinu.
Naomba nieleweke hiv mtu mwenye tatizo hilo anatakiwa kufuata mambo yafuatayo Nina uhakika atapona kabisa tatizo hili na hii unatakiwa ufanye non stop kwa muda wa miezi 4 mpaka 6 kuna tofauti kubwa kati ya kuongeza nguvu za kiume na kutibu tatizo la nguvu za kiume njia hii ninayokuletea leo ni kujitibu na sio kuongeza coz ukiongeza baada ya muda huisha na utakuwa mtumwa wa madawa hayo kwa muda mrefu ila kujitibu utachukua muda mrefu ila utapona kabisa
Vyakula unavyopaswa kuvitumia wakati kutibu tatizo hilo(unaweza kutumia vyakula vingine ila hiv ntakavyokutajia hakikisha unatumia)
kula ugali wa dona faida yake ni kuwa utaongeza uwezo wako wa nguvu za kiume na mbegu za kiume pia zitaimarika zaimbivu samaki aina zote, maziwa fresh, maharage, kunde, mboga za majani, mihogo, viaz vitamu, tumia mafuta alizeti, ufuta au mawese..
Tumia matunda
parachichi,ndizi mbivu, machungwa,chenza,madalanzi,maboga,tikiti maji,papai,Nana's,tende,nyanya,pera,kitungu maji,saumu,zabibu,karoti,madafu,bamia,bilinganya.mayai ya kienyeji na n.k
Jinsi ya kuondoa tatizo la punyeto kwa kutumia njia hii unakuwa nguvu ya kuipatia misul nguvu zaidi
Chua uume wako kwa kutumia kitunguu swaumu.
Unatakiwa kipindi chote ukiwa unatumia dozi hii ni unatakiwa kuchukua mboo yako kwa vitunguu vyaumu kila siku kabla ya kulala unaweza kutwanga punje kama tank hiv na ukachua vizur. Faida yake ni kuwa hii inasadia kuipa nguvu mishipa ya uume wako na kuweza kurudisha hali yake ya nguvu kama awali.
Unatakiwa kula kalanga Lita 1 kwa wiki kwa hiyo kwa mwez unatakiwa utumie lita 4 za kalanga kwahiyo kwa miez 4 had sita unatakiwa utumie lita 20 had 24 za kalanga.
Unatakiwa utumie tangawiz kila siku.hii ni kwamba unatakiwa utwange tangawiz mbichi na uchemshe kisha kunywa . hapa hutakiwi kuchanganya na kitu chochote kile na unatakiwa ukitumie ikiwa ya moto wastan na sio iwe ya vugu vugu.unaweza kutumia asubuhi au jioni.
Unatakiwa kunywa maji mengi sana kwa Siku ni vyema ukiweza kunywa maji kuanzia Lita 3 had 5 kwa siku hii ni muhimu sana. Unatakiwa kuchukua pia uumee wako kwa asali mbichi sio ya kuchemshwa . chua uume wako kila siku unapo amka na ukisha chua unalamba kijiko kimoja pia chua jion na utalamba kijiko kimoja cha asali.
Jitahid kutumia matikit maji kwa wiki wasta tumia tikit maji 1 kwa wiki moja na matikit maji 4kwa mwez had miez 4au 6itimie unatakiwa utumie kila wiki yai moja au 2 had umalize doz hii ya miez 4au 6.
Unatakiwa kupasha uume wako kwa kitambaa cha moto wastani. Hapa ni hivi, chemsha maji afu yakiwa ya moto wastan utatakiwa kupaka uume wako mafuta ya zaituni na kisha chukua kitamba chako kikiwa cha moto wastan funika uumee wako afu uwe una vuta mboo kwa kuvuta kwenda mbele .rudia zoez hili mara 3 .Fanya kila siku had umalize doz .unaweza kufanya muda wowote unaopenda ilimrad una muda.
unatakiwa ufanye mazoez hakikisha kila siku unapiga push up 20 asubuhi na jion 20 na ukiwa na muda fanya zoez la kukimbia au nunua kamba na uruke ruke ukiwa kwako
unatakiwa ujiamin na kuwa wewe una nguvu za kiume huna tatizo
hii ndiyo sharti gumu na ukikosea tu bas hutaweza kupona hata kidogo. Na tatizo litakuwa kubwa zaid ya awal. Ni hiv kipind chote hiki hutakiwi kufanya mapenz na mtu yoyote yule au kupiga punyeto. Kwa ukifanya hivyo utakuwa umeharibu tiba yote. Kwa sababu kipind hiki mishipa na viungo vyote vya kiume vitakuwa na kaz moja tu kujenga uwezo wa awal na kurudisha nguvu za awali za kiume hivyo kuipatia nafas mishipa yote kuwa imara na kuimarisha uwezo was kufanya mapenz. Hapa ili uweze kufanikisha hili ni vyema ukajadiliana na mkeo/mpenzi wako kuhusu hili tatizo lako na jinsi unavyotaka kutibu ili uweze kuwa kidume kama awal
utatakiwa kufanya mazoez ya kegel. Haya ni mazoez maalum ya kujenga uwezo wa mishipa kuwa na nguvu kama kifaru dume
Mazoez maalum ya kukujenge uwezo na kuupatia mgongo nguvu mazoez haya yatakusadia kuondoa maumivu ya mgongo na pia nakushaur penda kulala kwenye cement au udongo ila pawe tambala na ukiwa na hayo maumivu ya mgongo au kiuno yatapungua au kuondoka kabisa. Unapo lala lalia mgongo huku ukitazama juu unaweza kulala SAA 1 au zaid au ukihitaji mazoez mengine download video za Abs workout level up to 8 six pack
Mbinu za kutibu tatizo la punyeto
Mazoezi: kama wewe ni mtu unayeishi bila
mazoezi kabisa hutaweza kurudisha nguvu hizo,
hivyo unahitaji kufanya mazoezi yeyote angalau
nusu saa kwa siku. Inaweza kua kuruka kamba,
push ups, kukimbia, kuogelea na kadhalika.
Mazoezi haya ndio yanayofanya mzunguko wa
damu ue mzuri na wewe usimamishe uume
vizuri. Pia zoez la kegel ni zur zaid kwa kujenga misuli ya uume
Onyo: mazoezi yasiwe makali sana kwani
yatakumaliza nguvu za kiume.
Kula chakula bora cha asili ; vyakula vya
viwandani vina kemikali nyingi sana na ndio
vyakula vinaliwa sana kwenye kizazi chetu hichi
cha sasa hivi ndio maana shida hizi zamani
hazikuwepo ila siku hizi hata kijana mdogo
analalamika kuishiwa nguvu za kiume. Kula
ugali, maharage, viazi, maziwa mgando, karanga,
korosho, mihogo na vyakula vyote vya asili
unavyofahamu ila punguza ulaji wa nyama
kwani hauna matokeo mazuri kwenye tiba hii.
Kunywa maji mengi sana; kusimama vizuri kwa
uume kunategemea sana mzunguko mzuri wa
damu mwilini hivyo kama mwili una maji mengi
ni rahisi damu kwenda vizuri kwenye uume.
Nikukumbushe kwamba ni wingi wa damu
unaopelekwa sehemu za siri zako na kufanya
uume wako usimame vizuri.. pia mwili unatoa
kipaumbele vya damu nyingi kwa viungo
vinavyotupa uhai kwanza kwa maana nyingine
damu yako haiwezi kuacha kwenda kwenye
ubongo, figo na moyo kwanza afu iende kwenye
uume. Upe mwili sababu za kupeleka damu ya
ziada kwenye uume wako kwa kunywa maji
mengi.
Hii inawezeka tu kwa wale ambao watakuwa wapo tayar kupata tiba hii nina uhakika itakusadia maana mi nimetumia mbinu hiz kuongeza size ya uume wangu na ipo sawa kabisa
Mwelekeo wa hali ya Uchumi: Tanzania itatoboa?

Image may contain: one or more people and people sitting, text that says "Alone"


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/jitibu-mwenyewe-tatizo-la-nguvu-za-kiume.html

No comments:

Post a Comment