Ajuaye hesabu ya NDOA ni Mwanaume mwenye wivu π japo wengi hudhania Mwanaume kuwa na wivu ni KUMNYIMA UHURU BINAFSI MWANAMKE WAKE ila Mimi nasema Kwamba :-
▪ HESHIMA YA MWANAMKE KUCHUNGWA NA MUMEO π€
Kuna wakati MAMBO YA KIPUMBAVU ndo huharibu ndoa nyingi, Unakuta Mke anapata kila kitu kwa Mumewe ila ananyimwa uhuru wa MASHOGA hapo anaona wanawake waliopo kwenye ndoa na kutwa kuzurula kwa MASHOGA ndo wanaopendwa zaidi kisa UHURU WA MAMBO YA KIPUMBAVU ππ
Unamkuta Mwanamke hakosi mahitaji atakayo na mengine wala sio muhimu lakini pengine Mume akahisi MWENENDO wa Mke wake hauridhishi akataka kumpa elimu elekezi juu ya MWENENDO WAKE mfano matumizi ya simu sio rafiki kwa NDOA ghafla Mke anaona kukosa UHURU na ukifatilia unabaini ndani ya simu iko shida, lakini ifahamike wazi :-
▪ WANAUME WENGI NDOA ZAO ZINAWAFIA KWA AIBU KUONA ANAWEZA KUPAMBANA PEKE YAKE KUMSAHIHISHA MWANAMKE NA MWISHO KABISA MWANAMKE KUONEKANA ANANYANYASIKA.
Mwanaume akikosa WIVU KWA MWANAMKE WAKE amini hana lepe la UPENDO π WA DHATI π KWAKO kwa sababu hatawazia UBORA wala UZURI wako, Mwanaume akiwa na WIVU kwako Mwanamke atahakikisha ANAKULINDA π―
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria π¨

source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/uzuri-wa-mwanamke-usitazamwe-kwa.html
No comments:
Post a Comment