Monday, February 24, 2020

WANAWAKE IWENI MAKINI NA UPENDO WA MWANAUME 🀦‍♂️


Nature ya MWANAUME ni sawa na tabia ya SIMBA🦁 muda wote yupo mawindoni, baada ya kukupata na kujua ni sababu ipi itamfanya kuishi na wewe hiyo ndo atainuka nayo na kuomba uwe MKE wakeπŸ˜‚
Upendo ❤️ wa Mwanaume ambao ndiyo unaweza kukupa FURAHA NA AMANI hautapatikana kwa JAMBO LINALOTOKANA NA UHITAJI AMA SABABU ndo maana hali ya MAPENZI YA SASA IMEKUWA NGUMU SANAπŸ€”
Kutwa unaambiwa NAKUPENDA lakini vile wewe UNAMPENDA ukijaribu kuweka MIZANIA unabaki peke yako, lakini usivyo mjuzi wa MAARIFA unajipa MOYO πŸ’– ukiamini upo wakati ATAKUPENDA 
Upendo ❤️ hauji mara mbili ila Mara moja, Mtu akishindwa kukupenda wakati kuna JOTO LA MAPENZI vipi DOSARI zikianza kujitokeza🀷‍♂️
Mwanaume sifa yake MAJUKUMU lakini kama unaishi na Mwanaume na HAKUPI MATUNZO nawe unajidai MWANAMKE πŸ˜‚
Mwanamke ni yule anayetunzwa na Mwanaume, Lakini ikiwa wewe ndiye MWANAMKE SHUPAVU unagharamia maisha ya Mwanaume basi ujue Kwamba UMEUKANA UMWANAMKE WAKO na kuvaa nguvu ya Mwanaume, tarajia MAJUTO siku za USONI maana KUMFUGA MWANAUME NI KUSHINDWA KUJITAMBUWAπŸ€”
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria πŸ”¨


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/wanawake-iweni-makini-na-upendo-wa.html

No comments:

Post a Comment