Monday, February 24, 2020

ULIWAHI FAHAMU VILE MWANAMKE WAKO ANAWAVUTIA WANAUME WENZIOπŸ€”


Awali nianze kwa kutoa ELIMU ELEKEZI KWA WANAWAKE:-
KUJIPAMBA KWENU KUWE KWA AJILI YA UTUKUFU WA MUNGU KWAMBA MVAE KWA KUMPENDEZA MUNGU πŸ‘
Wanawake WALIO wengi wamejikita katika kumtamanisha Mwanaume πŸ’― na hapo ndipo ANGUKO LA UPENDO πŸ’˜ WA DHATI πŸ’• lilipopata upenyo, Kwa hakika MUNGU alivyo MUUMBA Mwanaume alimpa NGUVU YA KUTAMANI kuliko UPENDO πŸ’˜ na hapo ndipo Mwanamke itamgharimu kukwepa KUTAMANIWA.
Upande wa pili wa SHILINGI:-
 MWANAUME ANAWEZA KUSABABISHA MWANAMKE KUTOJIAMINI HATA IKAMPELEKEA KUFIKIRI ANATAKIWA AFANANE NA WANAWAKE AINA YA MICHEPUKO YA MUMEWE πŸ’―
Na hapo Mwanamke atatoka kwenye misingi ya NDOA na kupenda kuwavutia wanaume wengine akiamini ni njia ya kupata anachokihitaji....
Muda Mwingine ni tabia za wanawake kuiga MAVAZI ya wengine huku wakisahau NGUO INASITIRI KUTOKANA NA MAUMBILE HUSIKA hivyo kuvaa kwa ajili yako ni ngumu KUTAMANISHA WENGINE ila ukivaa kwa kujilinganisha na mwingine lazima utakuwa kwenye KUTAMANISHA WENGINE πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwanaume fikiria zaidi UHURU WA MWANAMKE WAKO pamoja na kubaini UDHAIFU wake hapo itakusaidia kujua kama YUPO NJIA KUU ama tayari WABABE WANAKULA NAWE πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria πŸ”¨


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/uliwahi-fahamu-vile-mwanamke-wako_24.html

No comments:

Post a Comment