Monday, February 24, 2020

MOYO πŸ’– WA MWANAMKE NI KAMA KIKAPU CHA SOKONI HUBEBA KILA MTU NA MWISHO KABISA YOTE HUONDOLEWA NA KUBAKIA CHENYEWE πŸ€”


Wanaume kama wangelipewa MOYO πŸ’– kama wa Mwanamke wallah ni wanaume wachache sana wangelibakia salama, lakini vile Mwanaume anakuja kwenye maisha ya Mwanamke kwa kujinasibu ANAO UPENDO πŸ’˜ WA DHATI halafu kwa kipindi kifupi hawezi tena kuonyesha UPENDO πŸ’˜ WA DHATI πŸ’• na kuacha MAUMIVU MAKALI KWA MWANAMKE HUYO πŸ’”
Moyo wa Mwanaume ni mdogo sana wala hauwezi kuhimili changamoto za MAPENZI Kwani Mwanaume anaweza kukabiliana na DHIKI peke yake maana ndilo eneo lake, Mwanamke aliumbiwa MAPENZI ndo maana anaweza kukabiliana nayo, Jiulize maswali mawili Kisha uje na majibu sahihi:-
 KWA NINI MWANAUME AKIONA JAPO MSG HAWEZI KUMSAMEHE.
 KWA NINI MWANAUME HAWEZI KUVUMILIA MWANAMKE WAKE AKIONEKANA NA MWANAUME MWINGINE.
Kisha MTAZAME MWANAMKE na usitahamilivu wake, Ndo maana MOYO πŸ’– wa Mwanaume naufananisha na ki bakuri🍜 hakiwezi kuweka mchanganyiko wa mambo πŸ˜‚
Basi tuwape wanawake zetu heshima na kuwaonyesha UPENDO πŸ’˜ WA DHATI πŸ’• ili wafurahie maisha ya NDOA ZAO.
Kuishi na Mwanamke kwa kumtazama kama MLINZI WA FAMILIA πŸ‘ͺ ni kosa sana, Wanaume walio wengi wanawapenda watoto kuliko MAMA ZAO kiasi kwamba wanawake hao hukosa furaha na kuzama kwenye UPWEKE πŸ˜­
Ukimuona Mwanamke ana FURAHA NA AMANI KWENYE NDOA YAKE UJUE AMEPATA MUME BORA πŸ’ͺ
Wengi wao wanawake wanaishi kwenye NDOA kuogopa AIBU YA KUACHIKA huku wakibakia kwenye MATESO YA NAFSI πŸ˜­
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria πŸ”¨


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/moyo-wa-mwanamke-ni-kama-kikapu-cha.html

No comments:

Post a Comment