Wednesday, February 26, 2020

JINSI YA KUSAFISHA UK-E (KUM*)

Image may contain: 5 people
Kama kuna kitu kinachomkera mwanamme katika uwanja wa sita kwa sita basi ni harufu chafu katika mwili wa mwanamke hasa uk-e. Na mimi hapa nitazungumzia usafi wa uk-e peke yake kwani hii ndo sehemu muhimu sana katika mahusiano na inayohitaji usafi wa hali ya juu sana pengine kuliko sehemu nyingine yoyote ya mwili wa mwanamke.
Jinsi ya kusafisha u-ke
Njia bora ya kusafisha u-ke ni yakutumia maji safi bila kutumia sabuni ya aina yoyote. Mara nyingi wanawake hutumia sabuni kusafisha si vibaya lakini ni vizuri ukatambua kuwa iwapo utatumia sbuni hakikisha kuwa haiingii sehemu ya ndani ya u-ke iishie sehemu za juu ya u-ke pekee, iwapo sabuni itaingia ndani ya u-ke huleta bacteria wabaya ambao baada ya muda mfupi huleta madhara makubwa ikiwemo na harufu mbaya. sabuni ni muhimu katika usafishaji wa miili yetu lakini si sehemu ya ndani ya u-ke bali shemu nyingine za mwili najua wanawake wengi hutumia sabuni kujisafisha u-ke watashangaa kusikia kutumia sabuni kusafisha u-ke kuna hatari lakini sabuni huondoa mafuta ya asili ya ndani ya kum* na kusababisha ukavu u-keni kitu ambacho si kizuri hasa ukizingatia kuwa aina nyingi za sabuni zina dawa iitwayo chlorophenol ambayo huondoa aina zote za bacteria katika u-ke wakiwemo bacteria wazuri kitu ambacho hutoa nafasi ya bacteria wabaya kumea kwa kasi hivyo baada ya muda mfupi harufu mbaya au uchafu mzito sehemu za u-ke hivyo unapoosha u-ke hakikisha unaeepuka kuingiza maji yenye sabuni ndani ya u-ke, chukua maji safi osha u-ke bila kuingiza ndani ya mpasuko.
HATUA TATU ZA KUOSHA U-KE
Hatua ya kwanza-ingia bafuni hakikisha kuwa bafu ni safi ikiwezekana lifanyie bafu usafi kiasi ambacho utalizika nacho wewe kwani bafuni pia ni sehemu ambayo imekuwa ukiwaletea magonjwa mbalimbali wanawake hasa ikiwa chafu magonjwa ambayo huambatana na harufu mbaya uk-eni, wakati wa usafi unaweza kujisafisha ukiwa umesimama wima au umechuchumaa.
Hatua ya pili-polepole anza kusafisha uk-e wako kwa kidole cha pili toka dole gumba, kidole cha kati au chanda(kidole kiwekwacho pete ya ndoa) fanya hivyo kwa maji safi.Hii itakusaidia kuondoa uchafu wote mzito uliopo uk-eni
Hatua ya tatu na ya mwisho - Suuza uk-e kwa kumwagia maji uk-e wako kuanzia mbele kurudi nyuma unaweza kutumia kikombe au kopo la plastiki hii pia itazui kupata ugonjwa na njia ya mkojo yaani UTI.


#PART TWO

Jinsi ya kusafisha U-ke wako!
Awali nilikuwa nikidhani kuwa kila mwanamke anapaswa na anafahamu jinsi ya kujisafisha ndani ya u-ke mara tu baada ya kuondolea bikira (kuanza mahusiano ya kimapenzi na hatimae ngono), lakini nimekuja kugundua ukweli kwamba wanawake wengi hawajui u-ke unasafishwa vipi?
Baadhi huofia kuwashwa na sabuni na wengine hudhani utokwaji wa utoko ni kawaida hivyo hawana budi kuacha kama ilivyo na badala yake hutumia “pads” ndogo au “wipes” zenye manukato ili kuzuia harufu/shombo ya u-ke na vilevile kuzuia uchafukwaji wa “vyupi” vyao.
Huitaji kuficha(Bali punguza) harufu ya asilia ya u-ke kwa kutumia bidhaa zenye mahukato hasa ukiwa na mpenzi wako kwani hiyo harufu ndio uanamke wenyewe na ikikutana na ile ya kiume ndio raha ya kufanya mapenzi na ikiwa mpenzi wako ni “aliyejaaliwa” atakuwa akiipenda harufu hiyo na hubaki akilini mwake hali inayoweza kumfanya akupende zaidi au kutoweza kufanya ngono na mtu mwingine bali wewe.
Hujawahi kusikia wanaume wanashindwa kutoka (date) wanawake wengine baada ya wapenzi wao kufariki dunia? Au mwanaume kushindwa kuendelea na maisha yake ya kimapenzi bila wewe na matokeo yake hata mkiachana lazima atarudi tu kwako….sababu moja wapo ni hiyo.
Kujiswafi ili kupunguza ukali wa shombo/harufu ya uanamke:
Utoko hujikusanya ikiwa mwili umetulia (usiku) hivyo hakikisha unajisafisha kila asubuhi kabla hujaanza kuoga.
Wengi wanatumia maji ambayo usalama wake ni wa utata, sasa ili kuepuka maambukizo hakikisha maji ya kujisafishia sehemu zako za siri yamechemshwa vizuri. Unaweza kutenganisha maji ya kuoga na ya kusafishia u-ke ukitaka.
*Kabla hujaguza u-ke wako hakikisha umesafisha mikono yako vizuri kwa sabuni (ukiweza tumia sabuni yenye dawa) na wakati huo huo pitisha sabuni juu ya u=ke wako ili kuondoa vijidudu kama vilikuwepo, safisha mahali hapo(juu ya u-ke kwa maji na hakikisha hakuna sabuni).
*Kisha kwa kutumia kidole chako cha kati, ingiza taratibu pale ambapo uume unaingia, kwa kuanzia huitaji kwenda mbali sana. Zunguusa kidole hicho taratibu huku ukijimwagia maji kwa kutumia mkono wa pili, kisha kitoe (kitatoka na weupe mzito) safisha kidole na maji yako.
*Rudia tena na sasa kiingize ndani zaidi na ukizunguushe tena (huku ukijimwagia maji) na kukitoa utaona “utoko” mwingi zaidi kidoleni, rudia hatua hizo mpaka uhakikishe kidole kinatoka bila weupe(utoko) na utahisi hali ya usafi, hakuna utelezi.
Unapojimwagia maji uk-eni huku kidole kiko ndani maji huingia pia uk-eni na ndio maana mwishoni kabisa utahisi umesafishika vema kabisa na utoko huo hautotoka tena siku nzima na u-ke wako hautokuwa na shombo kali kama ambavyo siku zote ambazo ulikuwa hujisafishi.
Kwa wale wanaotumia “bath” au “shower” unafanya kama nilivyoeleza ila tofauti ni kuwa maji yataingia vizuri zaidi ikiwa unapata “bath” hivyo hakikisha “bath” sio ya kuchangia, maji ni salama(safi), usiweke sabuni (bath cream) au bidhaa yoyote yenye kemikali kwenye “bath” yako ili kuepuka matatizo ya kiafya na maambukizo mengine.
U-ke na Kusafisha Utoko
Kwa kawaida wanawake huwa wanatoa majimaji yenye uzito tofauti hali inayotegemeza zaidi mzunguuko wako wa hedhi. Majimaji hayo hujulikana kama "utoko", Utoko huu huwa ni mweupe kama maziwa na huwa na harufu ya uanamke.
Utoko huanza kutoka pale unapokaribia ukuaji/mabadiliko/kubalehe, kutokana na umri mdogo wanaokuwa nao wakati huo (hawaruhusiwi kujisafisha zaidi ya pale juu kuondoa mkojo) utoko huo husababisha rangi mbaya ya chupi zao hasa kama ni nyeupe au zina rangi ng'avu kama nyeupe n.k. pale katikati.
Jinsi siku zinavyokwenda mtoko wa utoko huongezeka uwingi. Utoko ni muhimu kwa wanawake na una kazi yake ambayo ni kusafisha njia ya uzazi na uk-e kwa ujumla lakini kusema hivyo sina mana basi uyaache hayo mautoko yakae chupini ei?
Usafishaji hufanyika kwa ndani na unapotoka ina maana hauna kazi tena na hivyo huna buni kuundoa kwa kujisafisha kama ambavyo wanawake wote wanafahamu jinsi ya kujiswafi.
Unapofikia umri mkubwa na kujiingiza kwenye swala la mahusiano na hatimae kuanza kufanya ngono, huo ndio wakati muafaka wa wewe kuanza kujisafisha uk-e wako na kuondoa utoko ili kuwa huru (shombo free), kupunguza shombo ya "uanamke" kule chini wakati wa kufanya mapenzi, kupunguza siku za hedhi (kwa kawaida unakwenda siku saba lakini kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa unakwenda siku nne tu) na vilevile kupunguza maambukizo ambayo yanaweza kusababishwa na ufujaji wa utoko ndani ya u-ke wako.




source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/jinsi-ya-kusafisha-uk-e-kum.html

No comments:

Post a Comment