SOMO:MAVAZI.
MAVAZI ni ishara tosha ya utimamu wa akili unaokutambulisha kama mtu unaejiheshimu ambae umefikia levo ya kuitwa mwanandoa mke wa mtu au mme wa mtu.
UVAANJI USIOFAA UITWE HESHIMA YA MWANANDOA AU MRS FULANI.
UTOKAJI NJE YA ENEO LA NYUMBANI.
-UNATAKIWA VAA NGUO ZA HESHIMA UVAAJI WAKO UWE KIELELEZO MZURI KWA WATU
-UNATAKIWA VAA NGUO ZA HESHIMA UVAAJI WAKO UWE KIELELEZO MZURI KWA WATU
-HATA NYIE MABINTI MWANAUME ANAZINGATIA SIFA MOJA ILI AKUOE HESHIMA NA MUONEKANO WAKO USIVAE NGUO KWA KUJIZALILISHA UTAYAPATA MATAPELII YA PENZI.
-MWANAUME HAIRUSIWI UVAE KAMA TENJA FULANI AU MTEPESHO.
-MWANAMKE MAVAZI YAKO NDIO YANAKUNJENGEA HESHIMA SIFA ANAYOTAFUTA KILA MWANAUME
-VAA NGUO AMBAYO MMESHAULIANA MME NA MKE HII NDIO INAKUTOAGA
MWANANDOA JIHESHIMU KATIKA MAVAZI KUFUNGA MILANGO YA WANJOMBA KUKUFATA SI WAJUA MKE WANGU NAKUPENDA NATAKA TUJENGE NDOA YETU UNAVYOZALILIKA NJE KWA UVAAJI INANIUMA MAANA NAONEKANA KAMA NILIKOSEA MAVAZI NI UTAMBULISHO WA TABIA ZAKO NA MALEZI YA WAZEE BASI KARIBU UNIAMBIE NAKUKERA WAPI SONGEA SIPENDI UUNUNEEEE...NIELEZE KERO YAKO HAPA INBOX Mwalimu WA Wanandoa
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/elimu-kwa-wanandoa.html
No comments:
Post a Comment