Saturday, February 1, 2020

Kuna baadhi ya tabia za wanawake, hutakiwi kuzichukulia hasira wala kumletea ubabe,

Kuna baadhi ya tabia za wanawake, hutakiwi kuzichukulia hasira wala kumletea ubabe ubabe.
Inahitajika akili ili uweze kwenda nazo sawa.
Unaweza fanya jambo dogo tu, utashangaa mwanamke wako kakununia, au hata kujifanya kakasirika, au kususa kabisa.
Kwa mwanaume mjinga, anaweza jikuta anamtukana mwanamke wake au hata kumpiga makofi.
Lakini kwa mwanaume mwerevu anajua kuwa mwanamke anahitaji kulelewa kama mtoto, anahitaji kubembelezwa.
Badala ya kumtusi au kumpiga, anaamua kumsogelea karibu na kumbembeleza kimahaba na utashangaa anamwagika na kutoa ya rohoni mpaka ushangae......
Haihitaji nguvu nyingi kuishi na mwanamke, inahitaji akili tu ya kujua ufanye nini ili uende nae sawa, ufanye nini ili umteke kihisia ili ufurahie mapenzi yenu.🚶🏾‍♂🚶🏾‍♂🚶🏾‍♂🚶🏾‍♂


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/kuna-baadhi-ya-tabia-za-wanawake.html

No comments:

Post a Comment