Sunday, February 2, 2020

KATIKA VITU AMBAVYO HUTAKIWI KUMNYIMA MKE WAKO NI HIVI!


Je unafahamu kuna faida gani ndani ya furaha hiyo utakayompatia...?
01. Atakuombea kwa Mungu siku yako nzima na mambo yako yote unayoyafanya ufanikiwe na yaende vizuri.
02. Atakupikia chakula kizuri sana ambacho kitakuwa kimebalance na cha kiwango cha juu tofauti na akiwa na hasira unaweza kukuta chumvi imezidi au hamna kabisa kwasababu tu ya kumfanya awe na mawazo.
03. Utamuweka katika mazingira mazuri sana ya kuwa na hamu na wewe wakati wa kutimua vumbi la godoro usiku (hatoishiwa hamu ya kuwa na wewe).
04. Atakuwa mkweli na muwazi katika mambo yake yote yanayomuhusu, hatokuficha chochote maana utakuwa mshauri wake mkuu na wakwanza wa mambo yake.
05. Utajenga ukuta mzito wa kuwazuia wanaume wengine wasiweze kumshawishi na kusababisha usaliti, kumbuka kwamba mwanamke anahitaji mapenzi ya dhati, asipoyapata kwako basi talajia kuzidiwa kete na mwanaume yoyote atakaejitokeza na kuonyesha mapenzi ya dhati na yakweli kwake.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/katika-vitu-ambavyo-hutakiwi-kumnyima.html

No comments:

Post a Comment