Sunday, February 2, 2020

Mapenzi ya Facebook bwana yaani daaah Acheni tu!

Mumekutana facebook mumechat sanaa!!!baada ya muda mukaonana break ya kwanza guest !!muka sex siku tatu mfululizo!!ukafurahia sana hiyo moment!!baadaye ukarudi mkoani kwenu baada ya hapo no call, no text, hakuna kukujulia hali, sms ya mwisho aliyokutumia ni kukuuliza umefika ?ulipomjibu ndio ndio mazima mpaka leo miezi mitatu imepita hakutafuti!!!ana view tu status zako whtsaap ukimtext kimya!!!lakini cha ajabu ni kuwa bado uko busy kumpigia simu..unahangaika usiku kucha kutuma sms hata ujiongezi dada angu!!una komaa kama umeambiwa kuna tunzo utapewa!!ulivyo na first degree ya udhaifu umepata kisafari cha kwenda mkoa aliopo uko busy kutuma text niko mbeya!!hakujibu bado umo huoni text zangu niko mbeya!!!ndugu yangu hivi nikikuita smart crazy ntakosea!!!jiongeze mwanaume kama hakutak mute tu!!umia kimya kimya sahau acha maisha yaendlee !!kwan mwanaume yuko peke yake!?au kisa ile show ya 10G aliyokupa basi unahisi hakuna mwenye speed kama yake!!relax wapo wanaume wengi sana!!!tambua tu mkeka uliokuwa umeibet umechanika bet mwingine #kibonde
Counsellor


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/mapenzi-ya-facebook-bwana-yaani-daaah.html

No comments:

Post a Comment