Saturday, February 22, 2020

IKUBALI siku zote


Kuto pendwa na umpendae haimaanishi kuwa wewe siyo mzuri na huna thamani hapa duniani HAPANA.
Pengine mungu ameona kuwa unaye muamini na kumpenda bado siyo mtu sahihi kwako.
Usjione huna thamani isipokuwa tumia muda huo kutafuta furaha yako ukiwa mwenyewe. Hakuna anayeweza kumfurahisha mwenzie wakati yeye mwenyewe ana huzuni moyoni mwake. Wengi wana pretend tu siyo wakweli.
Tulia mda ukifika utampata mtu sahih
Yeye atakusahaulisha na yote
Atakuwa faraja yako
Usichoke kusubir
Mimi bado kukata tamaa
"JITHAMIN


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/ikubali-siku-zote.html

No comments:

Post a Comment