Saturday, February 22, 2020

WANAWAKE Wapo wengi...LIPI CHAGUO LAKO SAHIHI?


Wenye makalio makubwa au madogo
Weupe wa asili au wa dukan
Wapenda pesa na wapenda upendo
Wenye kujishughulisha na wale wadangaji
Lakin miongoni mwao unatakiwa utafute MKE
WANAUME tupo wengi
Warefu na wafupi
Wasomi na wasio wasomi
Wenye kaz na wasio na kazi
Wapole na wakarimu
Wenye upendo wa dhati na wale waongo
Wenye kuhitaj kuoa na wale wenye kupita tu
Wenye pesa na wale wasio nazo
Lakin miongoni mwetu yupo ambae unatakiwa umchague awe mumeo.
Ktk kundi la wanawake au wanaume wapo wanao jitambua..ni jukum lako kuangalia nan atakufaa kulingana na uhitaj wako.
Usichague mtu ambae ukiishi nae utahis upo jela.. Ishi na mt u uliye ridhika nae utae weza dum nae kwa furaha.......
CHAguo kilicho sahihi


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/wanawake-wapo-wengilipi-chaguo-lako.html

No comments:

Post a Comment