.
1- Kuwapaka matope wanawake wooote kwa ujumla wao ukasema eti wanawake wote ni sawa tu wakati hata mamaako nae ni mwanamke
2- Kutafuta mkamilifu wakati tabia zako tunakuvumilia tu.
3- Kutafuta msichana mrembo wakati huna pesa.
4- Kutafuta mke mwema kanisani (kwa wakristo) au kwenye maraakiz (kwa waislam) wakati we unaenda kanisani wakati wa maombi ya Christmas tu, au unaenda madarasa msimu washerehe za mawlid na miski ya roho.
5- Kushika mimba kwa kudhani ndio mtego wa kuwa utaolewa.
6 Kuendelea kuchagua wanaume wakati unajua waoaji siku hizi wachache.
7- Kuishi na mpenzi wako kabla ya ndoa, unamfulia, unampikia na unampa penzi wakati unajua hujulikani kwao wala kwa Mungu, ukiachwa unatafuta ushauri mitandaoni.
8- Kusema umeokoka lakini unazini na mchumba kama kawaida kwa kisingizio kwamba soon mtakuwa mke na mume!
9- Kuogopa kuongozana na msichana au mvulana eti mtaingia majaribuni, huku ukisahau kuwa hata ukaribu wenu ni aina ya kuikurubia zinaa.
10- Kufikiri kwamba utampata mtu mwenye sifa mia nane unazozitaka labda umuumbe mwenyewe!
11- Kujifanya unapendwa wakati moyoni unajua wazi mtu kakuchoka, na amekwambia kabisa anatafuta mtu mwingine!
12- Kumhonga mwanaume ili akuoe!
13- Kudhani kwamba kutoolewa ni laana, hii ni bangi mbaya sana kwakweli!
14- Kumtongoza mchumba au mke wa rafiki yako!
15- Kuoa wakati huna kazi /chanzo cha kipato!
16- Kufikiri eti wanaume wa kiafrika wanaweza kufanya mambo ya kwenye tamthiliya za kifilipino.
17- Kumsomesha mchumba ili baadae uje umuoe!
18- Kumng'ang'ania mtu asiyekupenda, utazimia ukialikwa harusini!
19- Kuwaeleza mashosti zako 'utam' anaokupa mtu wako!
20- Kumwambia bebi wako anunue gari wakati amepanga chumba kimoja……..
HUWO NDO UKWELI SASA KAMA IMEKU TOUCH BASI WE NIVUMILIE TU KWAKWELI MAANA MI MWENZENU SIWEZAGI KABISA KUFICHA UKWELI
Ukiweza share na wenzako wajijue walivyo wa pumbavu kimapenzi
IMETIMIA
UKIINGIA BONYEZA MAANDISHI MEKUNDU YAMEANDIKWA SUBSCRIBE KILA VIDEO ITAKUWA INAKUJIA DIRECT ZA MWALIMU BEMASHA
UKIINGIA BONYEZA MAANDISHI MEKUNDU YAMEANDIKWA SUBSCRIBE KILA VIDEO ITAKUWA INAKUJIA DIRECT ZA MWALIMU BEMASHA
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/huu-ndo-upumbavu-wa-mapenzi.html

No comments:
Post a Comment