Saturday, February 1, 2020

Moyo simama ni shuke kupenda tena basi mimi siitaji ndoa siitaji mwanaume.

...
Kama ushawai hongea kauli hii sema ndio sometimes unaweka mikataba migumu kwenye maisha yako kisa kunamtu alikutonosa ukaumia sana ukajitamkia magumu ambayo yamekufunga kifungo..
Kama kuna kauli ulijifunga sababu ya hasira enzi izo mwingine alitamka magumu sana sizai tena saizi anataman mtoto mimba kazi kupata
Mungu akasame kila kauli sababu ya hasira na akakupe mume akakupe mtoto


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/moyo-simama-ni-shuke-kupenda-tena-basi.html

No comments:

Post a Comment