Saturday, February 1, 2020

MABAHARIA WENZANGU MNAKWAMA WAPI WANAWAKE WANANISHITAKIA KWAMBA HAMUWATONGOZI HUKU INBOX KWANGU.


Wanaume acheni uoga, wanawake wengi wanapenda mwanaume msumbufu kwenye kutongoza., wewe usiogope sumbua tu kila Siku kuna siku usiyojua mara paap kitu hicho unatunukiwa....
sasa wewe leo umekuta mwanamke njiani hapo hapo sound, unataka hapo hapo,,
hata jogoo anafukuza weee ndio tetea linakubali linakaa chini
Sasa Wewe Ukikataliwa unakata tamaa..mnajishusha sijui mpoje wanaume na mabaharia wenzangu!
Mnakwama wapi wakati watoto wakali wanatafuta wakuwatongoza?


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/mabaharia-wenzangu-mnakwama-wapi.html

No comments:

Post a Comment