Saturday, February 1, 2020

Kama kweli unampenda mpenzi wako, basi jaribu sana kuepuka sifa za kijinga.


Kuna baadhi ya mambo ya kijinga unayafanya, ila kwavile unaona anakuvumilia, anakulilia, anakunyenyekea, anaomba msamaha hata kama kosa sio lake.
Basi una vimba bichwa, unajiona wewe ndo wewe, unamuendesha unavyotaka.
Wake up, uvumilivu una mwisho wake, ipo siku atachoka ujinga unaomfanyia.
Atakutoa moyoni, na kuamua kumove on.
Tatizo litabaki kwako, utalia na kusaga meno, utahangaika usiku kucha kutaka kumrudisha lakini haitawezekana.
Kwake utabaki story tu.
Be smart, usimkerahishe mpenzi wako kwa makusudi.
Mpe furaha na kulijenga tabasamu lake kila kukicha.🚶🏾‍♂🚶🏾‍♂🚶🏾‍♂🚶🏾‍♂badilika acha mapenzi na maisha ya mazoea mambo yamebadilika.....


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/kama-kweli-unampenda-mpenzi-wako-basi.html

No comments:

Post a Comment