Saturday, February 1, 2020

⌚FOCUS ON YOUR PURPOSE🏁


πŸ‘‰Sometime kua na akili nyingi inatesa sana, namshukuru Mungu kanipa uwezo mkubwa sana wa kufkria, kiasi kwamba nawatambua watu ote wanaoniwazia mabaya kuna mda adi nazitambua fikra wanazofkria juu yangu
πŸ‘‰Napata wakati mgumu sana kuwasalimia nkikutana nao coz wengi ni majirani, ndugu, na marafiki wa karbu kabsa, napata wakati mgumu sana wakiwa wananinafikia kunisifu kunishukuru kuniomba kuniuliza, that's why mpaka leo sinaga rafiki wanaonifahamu wanaelewa nachokisema
πŸ‘‰ Lakini kumbe kila kitu kina faida na hasara, sijawahi kuwachukia japo kuna mda wananpa stress atari😒
πŸ‘‰Wakati huo huo Mungu ananambia nishukuru kwa kila jambo, niwe na amani na watu ote tena niwaombee wanaoniudhi tena bila sababu dah kibinadamu ni ngumu sana, nawasamehe lakin wanarudia yale yale dah uwezi amini kuna wanaotamani ata nife yani😒
πŸ‘‰ Wapendwa sitaki pole zenu nataka mjifunze kwamba msiruhusu mawazo ya wanadamu yakawatoa kwenye kusudi, shukuruni kwa kila jambo, msiyumbishwe na maneno ya watu wanayowawazia ninyi ata kama ni wazazi
πŸ‘‰Msikilize na kumfata Mungu tu, huezi kumridhisha binadamu ata ukimpa vyote ulivyonavyo, waombee waishi miaka mingi wajionee mafanikio yako wamtukuze Mungu wako na kupitia mafanikio yako wavutwe kwa Yesu Kristo
πŸ‘‰πŸ“–πŸ‘‰ LUKA 6:27_36
πŸ‘‰ 6:27 Lakini nawaambia ninyi mnaosikia, Wapendeni adui zenu, watendeeni mema wale ambao wawachukia ninyi,
πŸ‘‰6:28 wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi, waombeeni wale ambao wawaonea ninyi.
@ GE.Kulawa


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/focus-on-your-purpose.html

No comments:

Post a Comment