Saturday, February 1, 2020

VYAKULA VYA KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA


πŸ‘‰PILIPILI
Kama tunavyojua wote mara nyingi chakula ambacho kimeungwa pilipili hufanya hata mapigo ya moyo kuwa tofauti na wakati mwingine hata jasho kutoka au kamasi kutoka.
Kwenye pilipili kuna kitu kinaitwaπŸ‘‰ CAPSAICIN πŸ‘ˆambacho hufanya pilipili iwe na hali ya ukali ambao huwezesha ubongo kutoa homoni ya πŸ‘‰ENDORPHINS πŸ‘ˆ ambayo katika hali ya juu huleta mguso wa hisia za raha.
Pia pilipili husisimua mfumo wa ufahamu (NERVES) wa ubongo na katika kufanya hivyo huwezesha kumshwa haraka NYEGE (kunyegeka) na pia ili ukiguswa au kubusiwa au kunyonywa au kupapaswa uweze kupata hisia kila sehemu✔️
πŸ‘‰MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI.
πŸ‘‡
Mlo wenye matunda na mboga za majani una matokeo makubwa sana katika hamu ya tendo la ndoa kwa njia nyingi.
Kwanza matunda na mboga za majani hupunguza kiwango cha mafuta na unene (CHOLESTEROL), kuongezeka kwa mafuta mwilini huzuia mzunguko wa damu kwa kubana mishipa ya damu.
Pia kula matunda na mboga za majani huhakikisha balance ya uzito kwani unene (OBESITY) kwa WANAUME kuna matokeo mabaya katika kuzalisha homeni za TESTOSTERONE na hatimaye jogoo kushindwa kuwika na kuwa na libido kidogo.
Na pia wanandoa wanapozidi kunenepeana ndipo na hali ya kufurahia au kutaka au hamu ya tendo la ndoa huzidi kupungua.
πŸ‘‰NAFAKA
πŸ‘‡
Nafaka zina nyuzinyuzi (FIBRE) na sukari ngumu (COMPLEX SUGAR) ambazo kusaidia kutunza uzito wa mwili.
Nafaka husaidia katika kuzalisha homoni za TESTOSTERONE kwenye damu.
Na pia nafaka huwezesha mtu kuwa na nguvu hatimaye kwenda masafa marefu wakati wa TENDO LA NDOA.
Kula nafaka nzima kama vile BROWN πŸž BREAD badala ya WHITE πŸž BREAD.
Pia kula nafaka halisi badala ya CORNFLAKES ni jambo zuri linalokuhakikisha afya nejama na mahusiano mazuri ya ndoa yako
πŸ‘‰TANGAWIZI
πŸ‘‡
Tangawizi ni chakula ambacho husisimua sana mfumo wa mzunguko wa damu mwilini, na tangawizi zinajulikana sana kwa kusukuma damu kwenda sehemu za viungo vya uzazi yaani UKE na UUME.
Inaweza kuliwa mbichi, au kupikwa au kuanikwa na kuwa kama unga
πŸ‘‰ASALI
πŸ‘‡
Asali ina madini yanayoitwa BORON, ambayo husaidia mwili kutumia homoni ya ESTROGEN ambayo ni homoni inayohusika na viungo ya uzazi na mapenzi kwa mwanamke.
Pia kuna utafiti unaoonesha kwamba asali huongeza nguvu, kitendo ambacho kitapelekea MWANAMKE kuwa uwezo na hamu ya TENDO la NDOA au libido
πŸ‘‰KARANGA
πŸ‘‡
Karanga huhusika moja kwa moja na kutunza mfumo wa mzunguko wa damu kuwa na afya (VASCULAR SYSTEM).
Pia mfumo wenye afya (MZUNGUKO WA DAMU) katika UKE NA UUME uwezesha MWANAUME na MWANAMKE kupata msisimko wa mapenzi haraka hatimaye tendo la ndoa kuwa zuri.
Pia karanga zina madini muhimu kama vile MAGNESIUM, asidi ya FOLIC na ZINC ambayo ni muhimu sana katika usalishaji wa mbegu za MWANAUME.
πŸ‘‰OYSTERS
πŸ‘‡
Huwa na kiasi kikubwa sana cha madini ya zinc na haya madini ndiyo huhusika zaidi na uzalishaji wa homoni ya testosterone kwa wanaume.
Pia imethibitika kwamba Wanaume wenye ukosefu wa madini ya ZINC huwa na matatizo ya nguvu za kiume na wakati huohuo kuwa na madini mengi ya ZINC mwilini huongeza kiwango cha shahawa.
πŸ‘‰SOYA
πŸ‘‡
Pamoja na kuwa na kiwango kidogo sana cha na pia kuwa na kiwango kizuri cha PROTEIN ,FAT .
SOYA zina PHYTOESTROGENS ambayo husaidia sana WANAWAKE ambao wamefikia MENOPAUSE kutengeneza homoni ESTROGEN ya ziada.
Husaidia UKE kuwa laini (wet, lubricated) MWANAMKE akisisimliwa wakati wa tendo la ndoa.
πŸ‘‰CHOCOLATE
πŸ‘‡
Chocolate ina PHENYLETHYLAMINE, kemikali ambayo husababisha hisia (FEELINGS) za furaha wakati wa MWANAMKE au MWANAUME kufika kileleni (orgasm)
πŸ‘‚SABABISHI VYA TATIZO LA KUTOKWA UCHAFU UKENI
Sababu za kutokwa na uchafu ukeni una vyanzo vingi sana vifuatavyo ni vyanzo vya tatizo hili
πŸ‘‚1. BACTERIA VAGINOSIS
Chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijafanikiwa kuwa wazi,kinachotokea ni kuongezeka kwa ghafla kwa idadi ya ya bacteria hawa na kubadilisha uwiano wa kawaida katika mazingira ya uke, wanawake wenye wapenzi wengi na wanaofanya mapenzi kwa njia ya mdomo Wana hatari ya kupata tatizo hili
πŸ‘‚2. TRICHOMONAS
Maambukizi haya hutokana na Aina ya protozoa wa seli moja, trichomonas mara nyingi huambukizwa kwa njia ya ngono, protozoa huyo huweza kukaa kwenye unyevu unyevu kwa Muda wa saa 24 Bila kufa hivyo kufanya taulo na chupi zisizokauka kuwa chanzo kingine cha tatizo hili
πŸ‘‚3. YEAST INFECTION
Kwa kawaida Kuna kiwango kidogo cha yeast (candida albicans) katika uke, huwa tunasema Kuna maambukizi pale kiwango kinapozidi Hali ambayo inatokana na kubadilika kwa Hali ya hewa ukeni (Change in the PH balance of vagina)
πŸ‘Maambukizi ya yeast hayatokani na tendo la ndoa.
Mambo ambayo huchangia tatizo hili ni:
MATUMIZI YA DAWA ZA KUZUIA MIMBA,
MAWAZO,
UJAUZITO,
KISUKARI
MATUMIZI YA ANTIBIOTICS
4. VAGINAL OR CERVICAL CANCER,
Mtu anapokua na kansa ya uke, hutokwa na maji ya harufu mbaya, hivyo ni heri uwe unafanya check up ili kujua Afya yako na kwakuwa cancer ya kizazi inapona hivyo ni vema ukatambua mapema uanze tiba
5. SEXUAL TRANSMITTED DESEAS (STDs)
Kuna baadhi ya magonjwa kama vile KASWENDE NA KISONONO yanasababishwa na ngono na kuwa chanzo cha tatizo hili.
6. POOR HYGIENE
Tatizo la kutokwa na maji wakati mwingine husababishwa na muhusika kua mchafu yani mtu unaoga kwa siku mara moja, chupi moja ndio hiyo hiyo mwaka mzima, pads unakaa nayo saa 24, ukienda kukojoa ujitawadhi na maji masafi hivyo unategemea utakua salama kweli??? Zingatia usafi mremboπŸ‘‰πŸ™„πŸ‘ˆ
DALILI ZA TATIZO HILI
Kutokwa na uchafu ukeni unaoambatana na kuwashwa au kutokewa na vipele, hii hutokana na kuharibika kwa uwiano wa bacteria hivyo kuwa na madhara na uchafu hutoka wa aina tofauti hapa chini nitaelezea kila Aina ya uchafu na dalili zake.
1. UCHAFU WENYE RANGI YA KAHAWIA AU DAMU
Huu uchafu huonyesha dalili ya kuwa mzunguko wako wa hedhi umevulugika na wakati mwingine ni dalili ya kansa ya kizazi, mwanamke anayepata tatizo hili hutoa damu nyingi kuumwa sana nyonga
2. UCHAFU WENYE RANGI YA NJANO /KIJANI WENYE HARUFU MBAYA
Endapo uchafu huo utatoka kama povu na wenye rangi ya kijani au njano na ukiambatana na harufu mbaya huwa ni dalili ya ugonjwa wa trichomonas, maambukizi ya parasite yanatokana na ngono zembe, dalili Yake nyingine ni maumivu na kuwashwa wakati wa kutoa haja ndogo.
3. UCHAFU MWEUPE MZITO KAMA JIBINI
Mara nyingi hii huwa ni dalili ya maambukizi ya fangasi(YEAST INFECTION) na dalili nyingine huwa ni kuvimba sehemu ya nje ya siri, kuwashwa na kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
4. UCHAFU MWEUPE/KIJIVU WENYE HARUFU YA SAMAKI
Uchafu wa Aina hii ni dalili ya maambukizi ya bacteria vaginosis, mara nyingi mwenye tatizo hili husikia muwasho na maumivu sehem ya nnje ya uke.
5. MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KUEPUKA TATIZO HILI NA TIBA YAKE
πŸ‘‡
Matibabu ya tatizo hili hufanyika baada ya kugundua chanzo cha tatizo na mara nyingi tiba Yake ni tiba ya dawa za antibiotics kitu ambacho si tiba nzuri zaidi kwasababu tatizo huweza kujirudia kila wakati na kusababisha matatizo zaidi hivyo tiba nzuri ni kuepuka hili tatizo kwa kufanya yafuatayo
πŸ‘‰EPUKA KUJIINGIZA VIDOLE MARA KWA MARA UKENI
πŸ‘‰EPUKA MATUMIZI YA DAWA ZA ANTIBIOTICS MARA KWA MARA
πŸ‘‰PUNGUZA KULA VYAKULA VYENYE SUKARI NYINGI
πŸ‘‰TUMIA PADS ZENYE ANIONS NI SALAMA KWA AFYA YAKO
πŸ‘‰SAFISHA VIZURI NGUO ZAKO ZA NDANI NA UZIANIKE JUANI NA HATA KUZIPIGA PASI
πŸ‘‰KUNYWA JUICE YA APPLE,STRAWBERRY, NANASI KWA WINGI
πŸ‘‰EPUKA KUFANYA NGONO ZEMBE
πŸ‘‰HAKIKISHA UNAJISAFISHA KILA UNAPOMALIZA KUJISAIDIA
πŸ‘‰EPUKA KUTUMIA DAWA ZA KUZUIA MIMBA
πŸ‘‰EPUKA KUTUMIA SABUNI AU VITU VYA MANUKATO UKENI,
NOTED :
Wanawake wengi mnapenda kutumia baadhi ya dawa kwa lengo la kuongeza vionjo kwenye mapenzi pia kufanya uke kunukia vizuri, au kukaza uke rafiki uke una harufu nzuri sana ambayo haipatkani kokote hivyo haihitaji kuwekwa pafyumu Wala kusafishwa kwa sabuni za kemikali kwani huwa panajisafisha hivyo ni heri ukaacha kutumia kwani madhara Yake hayaonekani sasa ila baada ya Muda huonekana
SABABU YA MTU KUZEEKA KWA HARAKA
UTAFITI: Naambiwa hii ndio sababu ya mtu kuzeeka haraka πŸ‘‡
Watu wengi hufikiri uwa uzee huja pale umri unapokuwa mkubwa sana ambapo hupelekea mabadiliko ya mwili kama vile rangi ya nywele kuwa nyeupe, ngozi kuanza kujikunja, kuishiwa nguvu za mwili na mabadiliko mengine.
πŸ‘‡
Unaambiwa Wanasayansi kutoka England wameeleza kuwa moyo wa mtu huwa miaka kumi zaidi ya umri halisi wa mtu huyo na inachangiwa na kutokula mlo kamili ‘Balance Diet’, kutofanya mazoezi na kuishi maisha hatarishi kama unywaji , kuvuta sigara, na kula vyakula vya kusindikwa na vyenye mafuta mengi.
Katika utafiti uliofanywa na Afya ya Jamii England imegundulika kuwa hili ni tatizo linalokuwa kwa kasi ulimwenguni kote ambapo 18% ya Wanaume na 14% ya Wanawake , miaka zaidi ya 50 huwa na moyo ambao unalingana na moyo wa mtu aliyewazidi miaka 10 jambo ambalo huwaweka kwenye hatari ya kupata maradhi kama kiharusi, mshtuko wa moyo, magonjwa sugu ya ini na kisukari.
SABABU ZA MWANAMUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA πŸ‘‡
Leo tutatazama tatizo lingine linalohusiana na ufanisi wa tendo la ndoa kwa Wanaume. Kwa kuwa neno upungufu wa nguvu za kiume limekwishazoeleka mapema kutumika na watanzania walio wengi,niseme tunatazama aina nyingine ya tatizo la upungufu wa nguvu za kiume hapa. Tafiti zinaonesha kuwa wanaume wengi hawapendi kuishi na tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa,wakati hadi 46% ya Wanawake huonesha kuridhika kuishi na tatizo hili.
Katika mada hii tutatazama nini husababisha MWANAMUME kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Ni kawaida kupoteza hamu ya tendo la ndoa kwa vipindi tofauti tofauti. Hamu ya tendo la ndoa hupungua pia kwa kadri umri unavyoongezeka japo siyo hivyo kwa wote,maana kuna Wanaume wengi hufikia uzeeni huku wakiwa na uwezo na hamu ya kushirikiana na wenzi wao kimapenzi. Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa ni tatizo kubwa kwa jamii kwa sasa,takribani mwanamume 1 kati ya 5 huwa na tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa. Mara nyingi limekuwa likisababishwa na matatizo ya kisaikolojia na kimaisha pia. Fuatana nami sasa ndugu mpendwa tunapoangalia sababu hizi na inawezekana ukapata msaada kupitia mada hii ikiwa una tatizo hili.
πŸ‘‡☝🏿
CHANZO CHA MWANAMUME KUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA NI NINI?
(A) Upungufu wa homoni ya Testesterone-
πŸ‘‡
Ni homoni ya kiume ambayo huimarisha misuli,huboresha uzito wa mifupa na huchochea utengenezwaji wa mbegu za kiume (sperms). Pia homoni hii huongeza hamu ya tendo la ndoa. Kupungua kwa homoni hii inayozalishwa na korodani,husababisha kupungua kwa hamu ya kufanya tendo la ndoa na uzalishaji wa mbegu za kiume huwa kwa kiwango kidogo.
(B)Matumizi ya Dawa-
,πŸ‘‡
Kutumia baadhi ya dawa huweza kupunguza uwezo wako wa kushiriki na Mke wako. Matumizi ya dawa kama za high blood pressure kama vile ACE na BLOCKER huweza kusababisha uwezo wa kufanya mapenzi kupungua na hamu ya tendo la ndoa kupotea kabisa.
(C)Mfadhaiko-
πŸ‘‡
Mfadhaiko huathiri utendaji kazi wa mwili wako wote. Mfadhaiko humfanya mtu apoteze kuvutiwa na kazi alizozoea kuzifanya hapo kabla ikiwa ni pamoja na tendo la ndoa. Imethibitika kuwa dawa za kupunguza mfadhaiko pia hupunguza hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mtumiaji.
(D)Magonjwa ya muda mrefu-
πŸ‘‡
Kama unajisikia vibaya kutokana na ugonjwa wa muda mrefu,kufanya tendo la ndoa haitakuwa hitaji lako la kwanza. Magonjwa kama kansa hupunguza kiwango cha mbegu zako na hivyo hamu ya tendo la ndoa kupungua.
(E) Kukosa usingizi-
πŸ‘‡
Imebainika kuwa tatizo la kukosa usingizi husababisha kupungua kwa kiwango cha homoni ya testesterone. Kupungua kwa homoni ya testesterone husababisha kupungua kwa hamu ya kufanya mapenzi pia.
(F) Msongo wa mawazo-
πŸ‘‡
kwa mtu mwenye msongo uwezo wake wa kufanya tendo la ndoa hupungua. Hii ni kwa sababu msongo husababisha hitilafu kwenye mfumo wa homoni. Na hii huweza kupelekea mishipa ya ATERI kubana na kuzuia damu kufikia sehemu muhimu zinazohusika na ufanyaji wa tendo la ndoa.
(G) Kutojiamini-
πŸ‘‡
Haitawezekana kufanya tendo la ndoa kama wewe mwenyewe huamini. Kutojiamini hupelekea wasiwasi ambayo husababisha mvurugiko wa homoni zinazohusika kuongeza hamu na ufanyaji wa tendo la ndoa.
(H)Pombe na Madawa ya kulevya-
πŸ‘‡
Matumizi ya pombe husababisha kupungua kwa uwezo wa kufanya tendo la ndoa. Matumizi ya madawa ya kulevya kama marijuana huharibu utendaji kazi wa tezi ya PITUITARIES inayoratibu utengenezwaji wa homoni ya TESTOSTERONE.
(I) Uboo kushindwa kudinda-
πŸ‘‡
Kukosa hamu ya tendo la ndoa ni matokeo ya Uboo kushindwa kusimama. Kama ulipatwa na tatizo la Uboo kushindwa kudinda husababisha wasiwasi na kutojiamini. Hii ni kwa sababu ya kufikiri kwamba huenda ikatokea tena. Hata hivyo mboo kushindwa kusimama ni dalili ya uwepo wa tatizo kubwa la kiafya kama vile magonjwa ya moyo.
(J) Unene uliopitiliza-Na kitambii
πŸ‘‡
Unene husababisha kupungua kwa homoni ya testesterone na kusababisha hamu ya tendo la ndoa kupungua. Pia unene huweza kusababisha magonjwa ya moyo na high blood pressure,ambayo kwa pamoja husababisha kupungua kwa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
(K) Mahusiano baina ya Wanandoa-
πŸ‘‡
Kama kuna magomvi,matukano na kupigana kati ya Wanandoa hamu ya kushiriki pamoja pia hupungua kama sio kutoweka kabisa. Lakini pia kama Wanandoa hawa wako mbali mbali pia hupelekea hamu ya kufanya mapenzi kupungua.
(L) Umri mkubwa-
πŸ‘‡
Utengenezwaji wa homoni ya testesterone inayohusika na kuongeza hamu ya tendo la ndoa hupungua kwa kadri umri unavyoongezeka. Wanaume mara nyingi huanza kuhisi tatizo hili kuanzia miaka 60 hadi 65. Kupungua kwa homoni hii husababisha kupoteza hisia za tendo la ndoa na kuchelewa kufika kileleni.
πŸ‘Œ JINSI YA KUTATUA TATIZO LA KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA πŸ‘‡
πŸ‘‡
Mambo ya kufanya ili kuongeza hamu ya tendo la ndoa yapo mengi. Hapa yapo machache ninayoweza kukushauri ili ujue jinsi unavyotakiwa kufanya ili kuongeza hamu ya tendo la ndoa.
πŸ‘‡
Mambo hayo ni kama yafuatayo;
πŸ‘‡
✔️ MAZOEZI- Kukosa hamu ya tendo la ndoa ni kwa sababu viungo fulani vimetulia pasipo kufanya kazi. Mazoezi huongeza ufanisi wa mzunguko wa damu,jambo linaloleta ufanisi wa tendo la ndoa. Kama umekuwa unafanya mazoezi,hebu ongeza tena kiasi fulani na kuongeza hamu na ufanisi katika ufanyaji wa tendo la ndoa.
✔️ MRIDHISHE Mke wako- Kukosa hamu ya tendo la ndoa pengine huwa ni matokeo ya tendo lililopita. Si mara zote tendo la ndoa hufanyika kwa ufanisi. Takribani 40% hadi 50% tu ya matendo ya ndoa huwa katika uthabiti na wote kufurahia. Kama mwanzoni hukumridhisha Mke wako, atatarajia awamu nyingine wewe kufanya vyema zaidi kuliko hapo mwanzo. Jitahidi kuondoa hofu na wasiwasi huku ukijiamini ili umridhishe Mke wako na ukidhi matamanio yake.
✔️ JADILIANENI Pamoja- Kujadiliana kwa pamoja hukusaidia kumfanyia Mke wako kile anachokitaka na yeye kukufanyia kile unachotaka. Hii itaongeza hamu yako kwa kuwa utapata unachotaka na Mke wako pia atapata anachotaka.
✔️ JENGA MATAMANIO kwa Mke wako- Tendo la ndoa huazia akilini. Jenga mazoea ya kumwona Mke wako kama bora sana na kitu atakachokufanyia ni bora sana pia. Unapopanga kushiriki kutombana na Mke wako,jenga picha akilini ya matamanio kwake na hii itakusaidia kuepuka kukosa hamu ya kushiriki na Mke wako.
✔️ TUMIA CHAKULA bora- Kuna uwezekano wa kutumia chakula ili kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa. Mchanganyiko wa chakula cha WANGA kwa asilimia 40-50 , PROTEIN 25% -35%, FATS kwa 25%-30% na MATUNDA kwa wingi kama vile TIKITI MAJI,husaidia kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa. Pia virutubisho kama ZINC huweza kukusaidia pia kuongeza uwezo na hamu ya kufanya tendo la ndoa.
✔️ EPUKA msongo wa mawazo- Kama tulivyoona hapo juu,msongo wa mawazo huweza kusababisha kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa, kuepuka msongo kutakusaidia kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi.
✔️ MFUMO wa maisha- Kama unataka kuepuka tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa, ACHA pombe , ACHA pia kutumia madawa ya kulevya kama vile marijuana , Mirungi na mengineyo.
πŸ”΄SHINIKIZO LA DAMU: Chanzo na Tiba yake
πŸ‘‚
Shinikizo la damu
Sphygmomanometer
Nini maana ya shinikizo la damu?
Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu
huhitajika mwilini ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa uchafu.
Shinikizo la damu hupimwa kwa kutumia kifaa kinachoitwa Sphygmomanometer
πŸ‘Shinikizo la damu husababishwa na nini?
Vitu vifuatavyo vinaweza kusababisha shinikizo la juu la damu:
Uvutaji sigara
Unene na uzito kupita kiasi
Unywaji wa pombe
Upungufu wa madini ya potassium
Upungufu wa vitamin D
Umri mkubwa
Ongezeko la kemikali kwenye figo (renin)
Kushindwa kufanyakazi kwa kichocheo kiitwacho insulin
πŸ‘‡
Uanishaji wa shinikizo la damu
Presha ya kawaida <120 <80
Presha inayoelekea kupanda 120-139 80-89
Presha hatua ya 1 140-159 90-99
Presha hatua ya 2 160-179 100-109
Presha hatua ya 3 ≥180 ≥110
πŸ”΄Shinikizo la damu/BP ni ugonjwa unaosumbuwa watu wengi sana duniani na hii ni kutokana
na kutokujuwa ni nini hasa husababisha ugonjwa huu mwilini. Shinikizo la damu linaonekana
kuwa ni ugonjwa wa kuishi kwa kufuata masharti.
πŸ‘‡
Katika makala hii tutaona uhusiano mkubwa uliopo kati ya upungufu wa maji mwilini na
ugonjwa huu, mwishoni utakuwa umeelewa sasa ni jinsi gani ilivyo rahisi kabisa kujiepusha na
kujiponya ugonjwa huu. Endelea kusoma.
Takwimu za Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) zinasema tayari watu bilioni moja duniani
kote, wanaathiriwa na shinikizo la juu la damu huku likisababisha mshtuko wa
moyo (Heart Attacks), kupooza na kiharusi (Strokes).
Takribani watu milioni nane hufa kila mwaka kutokana na ugonjwa huu wa kupanda kwa
shinikizo la damu.
πŸ‘‡
πŸ”΄DALILI za shinikizo la damu:
Maumivu ya kichwa (Haswa nyuma ya kichwa mara nyingi nyakati za asubuhi),
Kuchanganyikiwa,
Kizunguzungu,
Kelele sikioni (Mvumo au Mazomeo masikioni),
Kutoweza kuona vizuri au
Matukio ya kuzirai.
Uchovu/kujisikia kuchokachoka
Mapigo ya moyo kwenda haraka
Kutokuweza kuona vizuri
Damu kutoka puani
Uonapo dalili hizi unapaswa kuwahi hospitali kupata vipimo.
πŸ‘‡
'‘Mwili wa binadamu unapopungukiwa maji hutoa ishara (indicators), tumeziita ishara hizo
kuwa ni magonjwa, hauumwi, una kiu, usiitibu kiu na madawa – DR. Batmanghelidj’.
πŸ‘‡
πŸ”΄Shinikizo la damu (hasa la juu) ni kiashiria cha mwili kupungukiwa maji kwa kiwango
kikubwa,ni wakati ambapo mwili unajaribu kujizoesha na upungufu wa jumla wa maji
wakati kunapokuwa hakuna maji ya kutosha kuijaza mishipa ya damu yenye kazi ya kusambaza
maji kwenye seli mhimu.
Mishipa ya damu imebuniwa maalumu kuendana na mtiririko uliosawa wa ujazo wake wa
damu na mahitaji mbalimbali ya tishu kwa kufunga na kufungua mishipa mbalimbali ya damu
ndani ya mwili.
Figo hushtuka upesi kulingana na mtiririko wa damu. Hili linaposhindikana, yaani iwapo
mtiririko au ujazo wa damu utapungua, basi Figo huitoa homoni iitwayo "RENINI" ambayo
yenyewe huzarisha kitu kiitwacho "ANGIOTENSIN" ambayo huwa na matokeo mawili;
KWANZA πŸ‘ huzibana ATERI na kupandisha
shinikizo la damu, pili huisababisha tezi ya "ADRENO" kutoa homoni iitwayo ‘aldosteroni’ ambayo
huzifanya
figo kuishikilia chumvi na hivyo kusababisha kupanda kwa shinikizo la damu.
πŸ‘‡
Asilimia 94 ya damu ni maji. Kwa ujumla kila seli ndani ya miili yetu ina bahari ya maji baridi
ndani yake na bahari ya maji chumvi nje yake. Afya bora inategemea uwiano mzuri wa maji
ya bahari hizo mbili.
πŸ‘‡
Chumvi inayashikilia na kuyalazimisha baadhi ya maji kubaki nje ya seli (osmotic retention) na
potasiamu
inayashikilia maji ndani ya seli.
Wakati mwili unapokuwa katika upungufu wa maji (yaani haunywi maji ya kutosha kila siku)
mwili utaongeza
ujazo wa maji chumvi kwenye bahari ya nje ya seli.
Kupitia mfumo maalumu, homoni iitwayo ‘vasopressini’ hutolewa ambayo inaweza kuyachuja
maji ya chumvi
toka katika bahari ya nje ya seli na kuyachoma maji hayo baridi (baada ya kuwa yamechujwa)
ndani katikati ya bahari ya ndani ya seli kama yanavyohitajika ili kuutunza uwiano sawa
wa maji ndani na nje ya seli.
πŸ‘‡
Lakini ili mbinu hii ifanikiwe, mbinu gani, mbinu ya kuyachuja maji ya chumvi toka katika
bahari ya nje ya seli, vasopressini husababisha kapilari na mishipa ya damu kujikaza au
kupunguza vipenyo vyake na kukupatia wewe
shinikizo la juu la damu (BP) ambalo ni mhimu ili kuyachuja na kuyachoma maji baridi
ndani ya seli toka katika
bahari ya maji chumvi iliyopo nje ya seli.
πŸ‘‡
Kama mishipa ya damu haitapunguza vipenyo vyake, baadhi ya gesi itaachana na damu ili
kuziba nafasi zilizowazi
kutokana na kupungua kwa umajimaji mwilini na hatimaye kukusababishia msongamano wa
Gesi (Gas locks).
πŸ‘‡
Sifa hii ya vipenyo vya mishipa ya damu kujirekebisha kwa ajili ya mzunguko wa damu,
ndiyo mtindo unaotumika zaidi katika kanuni za kihaidroliki wakati ambapo mzunguko
wa damu mwilini umejirekebisha kuendana na kiasi cha umajimaji kinachopatikana.
πŸ‘‡
Wakati mwili unapokuwa katika upungufu wa maji kwa mfano kutokana na kutokunywa
maji ya kutosha; asilimia 66 ya kuishiwa maji inajionesha kwa kupungua kwa ujazo wa seli,
asilimia 26 inapotea toka ujazo wa umajimaji uliopo sehemu ya nje ya seli na asilimia 8
tu inapotea toka katika ujazo wa damu..
πŸ‘‡
Shinikizo la juu la damu ni kiashirio cha mwili kupungukiwa maji kwa asilimia 8 tu,
lakini madhara yanajitokeza sababu ya asilimia 66 ya kupunguwa kwa ujazo wa seli.
πŸ‘‡
Maji na chumvi vitalirudisha shinikizo la damu katika hali yake ya kawaida.
πŸ‘‡
Hii ndiyo sababu shinikizo la damu linapaswa kutibiwa kwa kuongeza unywaji wa maji pekee.
Dr.Batmanghelidj anasema; Maji peke yake, ni dawa bora ya kukojosha, pekee ya asili tuwezayo
kuiendea.
Kama watu wanaosumbuliwa na shinikizo la damu wangeongeza kiasi cha uchukuaji maji,
hawatazihitaji dawa za kukojosha, watazarisha mkojo wa kutosha na hivyo kuiondoa chumvi
iliyokuwa imezidi!. Watatakiwa pia kuacha kula vyakula VISIVYO na chumvi πŸ‘ˆHAPA SIJAKOSEA NIFUATILIE ILI UNIELEWE KWA NINI NIMESEMA HIVYOπŸ‘ˆ NA CHUMVI NINAYO ONGEREA HAPA NI SEA SALT) na hivyo
kuepukana na mikakamao ya mishipa (cramps) kwenye miguu yao.
Madhara yanayoweza kuletwa na shinikizo la damu:
Kwa mjibu wa Dr.Batmanghelidj, kutokulielewa shinikizo la damu kama moja ya ishara
za mwili kupungukiwa maji na kulitibu kwa dawa za kukojosha ambazo zinaukausha mwili
zaidi, baada ya muda zitasababisha;
Kuzibika kwa ATERI za moyo na ATERI ziendazo kwenye ubongo
Shambulio la moyo (heart attack)
Mishtuko midogo midogo au mikubwa inayopelekea
✔️kuzimia
✔️Ugonjwa wa kibofu cha mkojo
✔️Kiharusi
✔️Kupungua kwa nguvu za kiume kwa upande wa Wanaume
✔️Kuharibiwa kwa ubongo na matatizo ya akili kama vile kupoteza kumbukumbu
πŸ‘Daktari mwingine, Dr.David Brownstein katika kitabu chake kiitwacho
; “Salt Your Way to Live”,anasema kwamba alifundishwa katika vyuo vya UDAKTARI
kuwa chumvi husababisha shinikizo la damu na kuwa kila mmoja lazima ale vyakula
vyenye chumvi kidogo. Na hili watu wengi wamekuwa wakiamini hivi.
Wakati akiwatibu wagonjwa wake, anasema; alianza kuona kuwa wale wanaotumia
vyakula vyenye chumvi kidogo wanapata matokeo ya chini au wanapata nafuu ndogo
sana kutoka katika vyakula hivyo vyenye chumvi kidogo au bila chumvi kabisa na
wengi wao walitokewa kuwa na uhaba mkubwa wa madini katika miili yao.
πŸ‘‡
Katika utafiti wake ili kuwasaidia wagonjwa wake, ndipo akaja na jibu la chumvi ya
baharini ambayo haijasafishwa (unrefined sea salt) ambayo huwa na madini mengine
zaidi ya 80 ndani yake, alianza kuona kitu kigeni kinaanza kutokea. Wagonjwa wake
hao wakaanza kuona mashinikizo yao ya damu yanaanza kushuka katika kiwango
ambacho wanaweza kuachana kabisa na matumizi ya dawa.
πŸ‘‡
Dr.Batmanghelidj anasema, ikiwa watu watajishughulisha na mazoezi hasa mazoezi ya
kutembea kwa miguu, watakunywa maji halisi zaidi na kuongeza chumvi (siyo sodiamu)
kidogo ya ziada kwenye vyakula vyao, mashinikizo yao ya damu yatarudi katika hali yake
ya kawaida.
πŸ‘‡
πŸ‘Swali la kujiuliza; Ni zaidi ya miongo minne sasa tangu tulipoambiwa kula vyakula vyenye
chumvi kidogo ili kuepukana na shinikizo la damu, kwanini sasa Idadi ya watu wanaopatwa
na ugonjwa huu inazidi kuongezeka
#ZUNGATIAπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Narudia tena, mwili unapoanza kuishikilia chumvi, hufanya hivyo ili kuhifadhi maji, toka katika
bahari chumvi hiyo ya nje ya seli, maji huchujwa na kutumika wakati wa mahitaji ya dharura.
Maji na chumvi kwa pamoja vitalirudisha shinikizo la damu katika hali yake ya kawaida.
πŸ‘‡
Kuikimbia chumvi kunasababisha shinikizo la damu (BP) kuwa sehemu ya maisha yetu,
tutapata nafuu, lakini baada ya muda mfupi hali hurudi ileile na pengine kuwa watumwa wa
kuchagua kula hiki au kile.
πŸ‘‡
Tofauti na zamani ambapo shinikizo la juu la damu lilipokuwa
ni ugonjwa wa watu wanene au wenye uzito uliozidi pekee, siku hizi wanene kwa wembamba,
watoto kwa wakubwa wanaugua BP.
πŸ‘‡
MAMBO 11 MUHIMU YA kuzingatia UNAPOKUWA NA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU:
#Ongeza kiasi cha unywaji maji na chumvi kila siku
#Kula nyama isiyo na mafuta mengi
3 #Ongeza kula vyakula visivyokobolewa
4 #Kula zaidi matunda, mboga za majani, karanga na maharage
#Punguza vyakula vya viwandani vinavyoongezwa sukari nyingi
6 #Punguza vyakula vyenye lehemu au kolesteroli nyingi
#Acha kuvuta sigara na tumbaku za aina zote
8 #Acha kunywa pombe
#Dhibiti uzito wako, hakikisha una uzito unaopaswa kuwa nao kwa mjibu wa urefu wako
10 #Punguza mfadhaiko au stress
11 #Fanya mazoezi ya viungo hasa mazoezi ya kukimbia kila siku na kama kukimbia kimbia
na BPH.
-Kiwango cha utokaji wa mkojo (Urine Flow Study): N kipimo kinachotumika kufahamu kasi ya utokaji wa mkojo. Mkojo unaotoka kwa kasi na kiwango kidogo huashiria kuwepo kwa BPH.
-Kipimo cha kuchunguza kibofu cha mkojo (Cystoscopy): Kipimo hiki husaidia kuweza kufahamu ukubwa wa tezi, sehemu tezi lilipobana njia ya mkojo na kiwango cha kubana huko. Aidha, huwezesha pia kutambua hali ya kibofu cha mkojo ikoje.
Uwezo wa kufanya tendo la ndoa
Wagonjwa wengi waliofanyiwa upasuaji wa BPH huhofia kuhusu uwezo wao wa kufurahia tendo la ndoa baada ya upasuaji. Kwa kawaida, huchukua muda fulani kwa agonjwa kuweza kurejea hali ya kawaida ya kufurahia tendo hilo.
-Hisia: Madaktari wengi husema kuwa iwapo mgonjwa aliweza kupata hisia muda mfupi baada ya upasuaji, uwezo wake wa kuendelea kupata hisia ni mkubwa zaidi.
Hata hivyo, iwapo mgonjwa hakuwa na uwezo wa maumbile yake kusimama awali, upasuaji wa tezi dume hauna uwezo wa kumrejeshea uwezo wake.
-Kutoa mbegu: Ingawa wanaume waliofanyiwa upasuaji wa tezi dume bado wanaweza kupata mdiso, mara nyingi upasuaji huu huwafanya wawe wagumba ,yaani wasioweza kupata watoto.
Hali hii kwa kitaalamu huitwa Retrograde Ejaculation au kilele (mshindo) kikavu. Kwa kawaida, wakati wa tendo la ndoa, mbegu za kiume kutoka kwenye korodani na kuingia kwenye urethra karibu na kijitundu cha kibofu cha mkojo.
Wakati wa tendo la ndoa, misuli maalum hufunga kijitundu hicho ili kuzuia mbegu zisiingie kwenye kibofu badala yake zielekee kwenye urethra ya katika uume.
Hata hivyo, upasuaji wa BPH huondoa misuli hiyo na kufanya mbegu kuingia kwenye kibofu cha mkojo badala ya kuendelea kwenye urethra ya uume. Mbegu hizo hatimaye hutolewa nje ya kibofu pamoja na mkojo.
-Kufika kilele : Huwa hakuna tofauti kubwa ya kufika kilele kabla na baada ya kufanyiwa upasuaji.
PICHA ZOTE MBILI NI MWONEKANO WANGU
NIMEKUPA MFANO WA KUISHI KWA FURAHA ACHA KUHUZUNIKAπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/vyakula-vya-kuongeza-hamu-ya-tendo-la.html

No comments:

Post a Comment