Saturday, February 1, 2020

Utulivu wa penzi au ndoa huongozwa na ukaribu wa hisia pamoja na mioyo yenye kuridhika.


Unakuta familia inalalamika awapati mtoto kumbe akuna amani Mungu awezi shusha mimba sehemu isiyo na amani sababu ile zawadi atatoa itatekwa na shetani wewe jaribuni muwe na amani japo wiki tu uone maongezeko kwenye uzao uchumi amani na kila jambo maana amani ya familia usababisha malaika kushuka kwenye familia yako
Our soul shall praise you our maker.Piga magoti omba kwa kila jambo usitafute upako kwa watu wewe una nguvu kubwa sana jiamini ili Mungu akuamini
Mwalimu wako Bemasha hapa nakusisitiza kaifanyie hii kazi uone nguvu za Mungu kwenye familia yako


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/utulivu-wa-penzi-au-ndoa-huongozwa-na.html

No comments:

Post a Comment