Sio mara moja nimewahi kukwambia mwanamke huongea mambo asiyoyamaanisha kabisa, huongea kinyumenyume, ndio maana kuishi nae inahitaji akili nyingi vinginevyo atakufanya zoba huku wewe unajiona mjanja!!
Mwanamke anaweza kukwambia "Baby Muu Mata ananitongoza!" Ukadhani anamaanisha hamtaki au anakupenda sana ndio maana anakueleza wanaomtongoza lakini kaa ukijua hakuna siku atakutajia anaowakubalia na kuwapa mzigo wajipigie, tena bure!!
Jiongeze sana mwanamke akikwambia "Simpendi yule jamaa!!" Awe rafiki au hata jirani tu kaa chonjo kwasababu huyo anaweza kuwa mwanaume anaempenda ila hajui jinsi ya kumpata au tayari anakula mambo! Anaweza kukupa simu yake ukakaa nayo wiki nzima na asitafutwe na mwanaume yeyote ila ikirudi mikononi mwake hadi picha za uchi atamtumia hawara yake,
Kawaida unapoanzisha mahusiano nae mwanamke hutumia muda mrefu sana kukusoma, akiona una wivu wa kipumbavu au uliokithiri basi na yeye huongeza umakini katika mitikasi yake, hata ukimbana asitoke kwenda gengeni wahuni watajisevia hata chooni/ bafuni.
Wakati mwingine hupendelea vitu vya kutisha au kujaribu vitu vya hatari na anajikuta anafanya mfano wengi hivi sasa wanaingiliwa kinyume na maumbile, wanataka wenyewe! lakini ukimuuliza sasa hivi mwanamke yeyote anaweza kujifanya anakataa hiki ninachokisema hapa lakini kumbe ndio shabiki namba moja wa michezo hii!!tunarudi kulekule wanasema wasiyoyamaanisha.
Nisiongee sana wasije wakaniekea kikao..
Nisiongee sana wasije wakaniekea kikao..
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/mambo-ambayo-mwanamke-hawezi-kukwambia.html

No comments:
Post a Comment