Monday, February 3, 2020

*DALILI ZA MUME/MPENZI ambaye hajakomaa kiakili (yaani anafanya mambo kama mvulana na sio kama mwanaume)*



1.Anakata tamaa mapema yeye, hupenda kuahirisha mambo

2.Anafikiri yeye ni bora kuliko mpenzi wake ama mke wake

3.Inapotokea kutokuelewana yeye anabisha ili ashinde mabishano


4.Ngono ndio mtatuz wa Matatizo ya mahusiano yake

5.Anatarajia mpenz wake awe kama mama yake (yaani amfanyie kila kitu hata vitu ambavyo anaweza kuvifanya)

6.anapenda kulaumu na kumjaji mke/mpenz wake

7.anashidwa kujidhibiti(kujicontrol) hasa akifurah ama kukasirika anaweza hata kuropoka

8.Anapenda kujizira na kulipa visasi akifanyiwa makosa na mwenz wake

9.kigeugeu, haeleweki hata mipango anayoipanga ainaibadili badili hata kwa sababu zisizo na msingi


10. Vipaumbele vyake ni vya kivyakevyake wakat mwingine anawapa vipaumbele marafiki kuliko mkewe/mwenzi wake

11.Hapend kazi zitakazokomaza ama kumchafua mikono, anaweza akakataa hata kupika ama kuosha vyombo akiogopa atachaafuka


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/dalili-za-mumempenzi-ambaye-hajakomaa.html

No comments:

Post a Comment