Wednesday, February 12, 2020

Wewe Unayetafuta Mwenza wa Maishaa (Mume/Mke) Soma Hii ni Muhimu sanaaa


Kaka mmoja maeneo fulani hivii akiwa kama kijana tu ambaye hamjui Mungu yupo tuu na mambo ya dunia alikuwa na mahusiano na binti fulani ambapo kidunia dunia walifanya ya kufanya na kufikia hatua ya kutaka kuoana...
Maandalizi yalifanyika kwani kijana alikuwa na uwezo kiasi fulani kwa hyo akamvalisha Binti Pete ya TANZANITE (Madini haya jamani)😳😳 na Mahali alitoa Nusu.....
Hadi terehe ya Ndoa Ikapangwa na baadhi ya ndugu wakaanza kutoa michangoπŸ€”πŸ€”
Sasa Baaasii Unajua nini kilitokeaa????
Wakati huo walikuwa wanaishii Mkoani Arusha wote wawili wakati wa maandalizi yao ya ndoa ikatokea dharula tu ya ghaflaaaa Kijana akatakiwa aje dar mara moja kwa kaka yakee,
Baada ya kufika Dar kakaake alikuwa ni Mchungaji msaidizi kwenye kanisa Fulani la kiroho jijini Dar es salam.
Akamkalibisha mdogo wakee kwenye kanisa lao na Bahati nzuri siku aliyokaribishwa ilikuwa siku ya SEMINA YA VIJANA....πŸ˜‰
Kijana nae hakusita kwenda, akaungana na vijana wengine kwenye semina Ileee.....
Lahaulaaa🀭🀭🀭 Yaliyofundishwa sana ilikuwa ni sehemu ya Mahusiano!! Namna ya Kumpata mwenza wa maishaaaπŸ₯°πŸ₯°
Walielekezwa Sababu au kigezo kikubwa cha kumjua mwenza wa maisha ni MAONOπŸ€”πŸ€”
Yaani Jua wewe ni nani, Kusudi la Mungu kwako ni lipiii!! kwa nini unataka kumuoa/kuolewa na huyo kijana?? Yaani Maono yatakuwezesha kujuaaa huyu ndiye huyu siyeee🌝🌝 (Ila mpaka ujijue wewe ndipo utamjua mwenza wako)
Hizi mambo za kusema yeyote tuu mi sawa hiziiiπŸ˜…πŸ˜… hazikutakii memaa oohhhh
Haaaaaaa!!! Masikini Kijana yule akajiona Mjinga sana kwani Anasema alikuwa hana sababu za Msingi kumuoa yulee Binti na hata binti hana sababu maalumu (Hawana maono) mbaya zaidiii marafiki zaaake ndio walikuwa wakimshauriii🀭🀭 Aoe zen Atachepuka kwa hyo aoe yoyoteee tuh kuchepuka kupogoo😳😳
Kijana Baada ya Kuijua kweli na kuona amekosea Akaamua Kuvunja mahusiano hayo pasipo kujali Amemvalisha Pete ya gharama, wala ametoa mahaliπŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽 (Sizan kama kwako ungeweza)
WEWE sasa!!! KWELI UNAIJUA UNAPATA MAFUNDISHO LABDA AU UNASHAURIWA TU KWAMBA MAHUSIANO HAYO ULIYONAYO SIO MAZURIII
"Ohhhhh Hawataki Nioe/Nioleweee😳😳😳"
cha ajabuuu sasaaa
"Kwenu hawamjui, Hajawahi hata kukuvisha pete ya 200 mbagara paleeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,
" Hajawahi kukwambia hata ntakuoa LiniπŸ˜‚πŸ˜‚ Baado Unasema hawatutakii memaaaa😳😳
" VIJANA TUNAKWAMA WAPIII LAKINIII???🀭🀭
"Ndoa tunataka ila sasa hatutaki kufwata kanuni za Kimunguu" VIJANAAAπŸ™„πŸ™„
"Kufeli kwenye mahusiano ni afadhari kuliko kufeli kwenye ndoa"😎😎
" Tambua maono yako Utamjua mwenza wakoo"
"Ukishauriwa kubali usiongozwe na hisia za mwili au kwa kuhofia watu watasema nini mkiachanaa"😎
" Lakini zingatia huyo atakayekushauri awe ana matokeo mazuri kwenye ndoa yakeee"πŸ‘ŒπŸΌ Usiende kwa walioachanaaa na kupeana Tarakaa....
"Kaa chini na Mungu jijengee vyeema pata maarifa sahihi ya ndoa ndipoo Uingieee"🌝
" Na Ukimpata labdaaa sio muanzee sexπŸ˜‚ Anza kumuuliza Mungu ni huyuu?? Mungu nionesheee kama ndiyee mfunue Bwana!! Yer 33:3
"Naamini sauti Inatosha kwa leoo Vijana wenzangu et😎😎🌝🌝"
"Mimi mwenyewee baadoo naendelea kujifunza πŸ’ƒhapa Tarehe 28/02/2020 kutakuwa na mkesha wa Vijana na wale watu wapweke(Waseja) Kanisa la Valley of Life Ministry Lipo Kigamboni Maeneo ya Kibugumo Mzambarauniii Kuanzia saa 3:00 Usikuuu"
"Siwezi acha kuhudhuria nikapate maarifa yatakayonisaidia Mimi na vizazi vyangu vyoteee"πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽 Nimegundua ntaangamia kama nikikosa maarifa🀦🏽‍♀
Karibu na wewe mwenzangu Najua hii sekta ya ndoa ni ngumu bila maarifa ya kimungu🌝🌝
(Njoo tufundishwe woote ili tusikoseeee).....


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/wewe-unayetafuta-mwenza-wa-maishaa.html

No comments:

Post a Comment