Monday, February 3, 2020

UKITAKA KUMBADILISHA MKE/MUME KITABIA, ANZA KUBADILIKA WEWE KWANZA.

Related image
Ukitaka awe muaminifu katika ndoa, anza wewe kuwa muaminifu.

Ukitaka asiwe na gubu, mfokaji hovyo, basi wewe kuwa mpole.

Kama unataka awapende wazazi wako, wapende wazazi wake.

Unataka aweke mambo yake wazi, anza wewe kuweka yako wazi.

Unataka simu yake uitumie, mpe simu yako kwanza aifungue.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/ukitaka-kumbadilisha-mkemume-kitabia.html

No comments:

Post a Comment