Monday, February 3, 2020

NDOA YAKO HAIWEZI KUWA NA FURAHA MPAKA WEWE UWE NA FURAHA.

Image result for Utamu wa Jirani

Watu wengi hawana furaha katika ndoa, kwa sababu wenyewe wameruhusu hivyo.

UKIYAFANYA HAYA UTAKOSA FURAHA KATIKA NDOA YAKO:

1. Usiweke vitu vibaya kichwani.
2. Usiendekeze hasira katika jambo lolote.
3. Tambua kuwa kila mmoja ana udhaifu wake, ukitaka kushughulika na kila aina ya udhaifu wa mwanadamu, utakosa furaha.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/ndoa-yako-haiwezi-kuwa-na-furaha-mpaka.html

No comments:

Post a Comment