Friday, February 7, 2020

Ukipendwa jitahidi ku_reciprocate/kuonesha(hat kinafki tu kama huwezi kuwa real).


Jitahidi kujali upendo na kuthamini muda wa anayekupenda na kujitoa kwa ajili yako.
Wengi wetu tunajikuta
tunashikwa sana na mambo mengine na kushindwa ku_balance masuala muhimu maishani..
Tumekuwa wenye kudharau sana upendo wa wenza wetu na kujiweka bize mambo mengi kiasi kushindwa hata kutenga muda kwa ajili ya wapenzi wetu.
Hii hasa kwa wapenzi walio mbali ndio limekuwa tatizo kubwa sana kwao kiasi inafika mahali mtu moyo unachoka na kukinai na hapo uzaliwa kitu kipya moyoni kwa mtenda.
Trust me hata uwe na hela kiasi gani huwezi kuwa na Furaha kama moyo wako unapata tabu sana.
Mpende akupendae na muoneshe unajali, unaheshimu na kuthamini afanyacho kwako..
By,
J4REAL-TECK


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/ukipendwa-jitahidi-kureciprocatekuonesh.html

No comments:

Post a Comment