Friday, February 7, 2020

%"KWAKO MWANAUME"%


Mwanamke huridhishwa na vitu vidogo vidogo sana hususani pale
tu mwanaume wake
anapoonyesha KUMUHESHIMU, KUMJARI, na KUMTHAMINI katika hali zote.
Haitaji kupewa gari ama nyumba kujua unampenda anahitaji muda wako na kujitoa kwako.
Tena mwanamke huwa ni mdekaji mzuri sana kwa mwanaume anaejua thamani ya mwanamke.
Ukitaka uone UPENDO, MAPENZI, TABASAMU na FURAHA ya MKEO au MPENZI wako, basi onyesha HESHIMA, KUJARI na KUTHAMINI utu wake.
Mpe muda katika ratiba zako mpende na kumjali bila kiasi wala kikomo na hapo utakuwa sehemu ya faraja na amani yake.
#Timiza_wajibu_wako_mwanaume.
#Linda_na_dumisha_FURAHA_ya_mpenzi_wako
#Ahsanteni
By,
J4REAL-TECK
Image may contain: one or more people and people standing


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/kwako-mwanaume.html

No comments:

Post a Comment