Sunday, February 9, 2020

💞💞UBAHILI MPAKA KWA MKEO💞💞


Image result for mapenzi wakubwa
💙Ubahili wa nini❓

💙Kwanza nianze kwa kukili kua maisha ni magumu sana nadhani kila mtu anajua.✔️

💙Na katika mahusiano ya mapenzi kati ya Mume na Mke lazima kunakua na tofauti ya kipato, yaani Mara nyingi Wanaume wanakua na hali mzuri kimapato kuliko Mwanamke.✔️

💙Nieleweke vizur kua si maanishi kua Wanawake wote wanakipato duni LA hasha.✔️

💙Ningependa kuwashauri wale kwenye NDOA juu ya Wake zao mambo haya yafuatayo:-✔️

💙Ujue tofauti ya kuchunwa na kuhudumia unapokua na Mke ujue ni jukumu lako✔️

💙Kumpendezesha anapopendeza watu watajua wewe ndio Mumewe uliemwezesha.✔️

💙Sio mpaka akuombe ndio umpe. jaribu kumfaamu hali ya maisha na kipato chake ujue kukisia cha kumpa kwa matumizi yake.✔️

💙Usiulize ya nini? ikitokea Mke amekuomba HELA usiulize ya nini👉🙄 yeye ni MTU mzima awezi kukuomba HELA akaenda kuichezea✔️

💙Kutumia pesa nyingi sehemu ya starehe.
Kuna watu wanaenda mpaka hotel ya nyota 5 kustarehe akitumia zaidi ya laki tano, cha ajabu baada ya kutoka hotel anamwachia Mke wake 10000 ya nauli. Huu ni ujinga bora ungeenda ata lodge ya nafuu yeye ukampa HELA ya kutosha.Tenga ata 10% ya mshahara MPE yeye aangalie kama kuna kitu cha kurekebisha arekebishe.✔️

💙Pia ni kwa wale Wanaume wanaowazidi kipato Wanawake wao sio Wanawake wenye vipato vizur. 

💙Hata kama Mke ana kipato kizuri , maana kuna Wanawake nao wenye tabia chafu mfano hakuna, kipato chake kizuri hivyo jeuri mkononi , Acha UJINGA UJUE 🏃 Macho ya MUNGU 🙏 yana kuchora . Jishushe , Acha nyodo muheshimu Mume wako na Kama waweza kumsaidi basi msaidie ili NDOA IWEZE KUDUMU NA FURAHA 🙏💚


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/ubahili-mpaka-kwa-mkeo.html

No comments:

Post a Comment