Sunday, February 9, 2020

*Ewe mke/Ewe mume*



Image may contain: 1 person

πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•

*Iendeshe ndoa kwa unavyomjua mwanandoa mwenzako, USIINDESHE ndoa kwa maneno unayasikia nje ya ndoa yako*.

*Ndoa ni kusomana mkaelewana penye zuri mkapongezana na penye kasoro mkavumiliana kurekebishana huku mkiwa viziwi kuziepuka fitina*.

*Sio wote wanaopenda kuwaona mkipendana basi tahadhari kwani ndoa ni kitu cha thamani Sana, Usije ukaiangusha nyumba ukaishia kujuta na kusononeka*

πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/ewe-mkeewe-mume.html

No comments:

Post a Comment