Siku utayoanza kumpoteza mpenzi wako ni siku ambayo utaanza kufikiria kuwa hawezi kuniacha ananipenda sana !!ukishaanza kufikiria hivi utaanza kumchukulia poa yale mawarda na mahaba utayapunguza, utaacha kumcare..lazima utaanza kujitunisha eti kisa umejihakikishia kuwa hawezi kukuacha/utavimba utaanza kujiona kujike na kidume !!nakukumbusha ukianza kufikiria hiyo point ujue tu ndio umempoteza hivyo!!!..siku zote mtu yoyote anayekupenda sana siku unayoanza kumtoa machozi ndivyo unavyozidi kumrudisha reverse !!kumbuka tu mapenzi hayana guranteee ,hayana cha hawezi kuniacha, hayana cha tumefanya mengi sana hawezi kuniacha, usimcheke anayelia leo kwa kuumiza yawezekana kesho ukawa ww!!enjoy moment uliyo nayo leo kwenye mahusiano yako maana kesho huijui!!mjari na mpende unayempenda stay true and be real kwa sababu mapenzi yanadumu kama utawekeza jitihada zako!!!usimchukulie poa anayekupenda!!!!
Counsellor
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/siku-utayoanza-kumpoteza-mpenzi-wako-ni.html
No comments:
Post a Comment