Wednesday, February 12, 2020

Mwanaume; Kama una-date na Binti ambaye hauna mpango wa kumuoa, mwache aende zake

Mwanaume;
Kama una-date na Binti ambaye hauna mpango wa kumuoa, mwache aende zake na mwambie ukweli kuwa hauna mpango nae wa ndoa kuliko kumpotezea Muda wake.. Kuwa katika uhusiano na mwanamke usiye na mipango nae ni kumshikilia mateka mke ajaye wa mwanaume mwingine.. Unapomwacha mapema unafanya apate bahati ya kukutana na mwanaume sahihi na mume wake halisi..


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/mwanaume-kama-una-date-na-binti-ambaye.html

No comments:

Post a Comment