Wednesday, February 12, 2020

FAHAMU AINA ZA WANAWAKE AMBAO HUCHUKIWA ZAIDI NA WANAUME.


.
.
Kuna baadhi ya tabia ambazo hufanywa na baadhi ya wanawake ambazo hupelekea kuchokwa mapema na kuchukiwa zaidi na wanaume! Ungana nami hapa tujifunze pamoja.
.
1️⃣ : MWANAMKE MBISHI.
Hii ni aina ya wanawake ambao hamuwezi kukaa chini mkashauriana jambo na kuliafiki kwa moyo mmoja! Kila wakati yeye ni kupinga tu hata kama hana sababu za msingi.
.
.
2️⃣ : WANAWAKE WAJUAJI.
Hawa ni wale ambao hawana dogo! Hawezi akaelekezwa pale anapokosea, muda wowote hupenda kuhamisha lawama za makosa yao kwa mwenza wake.
.
.
3️⃣ : WANAWAKE WAROPOKAJI.
Hawa ni wale ambao hawezi kaa na jambo moyoni! Mambo yote ya kwenu ya ndani utayakuta na kuyasikia kwa majirani! Kifupi hawana siri.
.
.
4️⃣ : WANAWAKE WENYE TAMAA.
Hawa ni wale ambao hupenda kulingana na wale wenye maisha ya juu pasi na kuangalia uwezo wa mwenzi wake!
.
.
5️⃣ : WANAWAKE WAVIVU.
Hapa ni hasa linapokuja suala zima la tendo! Unaweza kuta mwenza wake ana ashki naye lakini yeye wala hashtuki na hata wakati wakulamba mkopo wa sukari huwa hajishughulishi kabisa, analala tu kama Ndama.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/fahamu-aina-za-wanawake-ambao-huchukiwa.html

No comments:

Post a Comment