Monday, February 3, 2020

TATIZO LA WANAUME KUWAHI KUMWAGA NA KUTORUDIA ROUND NYINGINE YA TENDO LA NDOA.

Image result for Utamu wa Jirani
JE, WANAUME WENGI HUFA MAPEMA KUTOKANA NA MSONGO WA MAWAZO UNAOSABABISHWA NA WANAWAKE?

> Katika utafiti uliowahi kufanywa ulibaini kwamba tabia ya kujihatarisha na kukandamiza mihemko ya kihisia kwa vijana wa kiume, inahusiana moja kwa moja na vifo vya mapema vya wanaume ukilinganisha na wanawake

> Tabia hizo ni Ugumu katika kufunguka, Ugumu wa kusamehe, Msongo wa mawazo, kutokujali afya na Tabia hatarishi. Inadaiwa Wanaume wengi wana maradhi ya kihisia kuliko wanawake


Leo tutaangalia tatizo la kukojoa (kumwaga mayai ya uzazi) haraka kwa wanaume. Kuna hali inayowakera wengi hasa wanawake, kwa baadhi ya wanaume kukojoa mapema mno, ikiwa na maana ni suala la kumuhesabia, moja, mbili tatu nne ikifika tano tayari keshapiga bao.

Sababu.
1. Kukosa ukomavu au uzoefu katika tendo la ndoa, ikiwa na maana kama mwanamme hajawa na uzoefu wa kuingilia uume wake una sisimka kutokana na uume wake haujawa na mazoea ya kuingia humo mara kwa mara hivyo . Huwa namstuko mkubwa na shauku iliyopingukia mipaka.

Suluhisho ni,
inashauriwa kufanya mara kwa mara na hata akikojoa anashauri ajilazimishe arudie walau apige bao hata tatu za kuilazimisha akafanya hivyo mara kadha ataanza kuondokana na kukojoa haraka lakini hata kama atakojoa haraka basi hatakiwi kuacha kuendelea tena na kumuacha mwanamke akiwa na nyege.

2. Upigaji wa punyeto. Kuna baadhi ya wanaume walikuwa na tabia ya kupiga punyeto mara kwa mara, hivyo huzaliwa tataizo hili la kukojoa haraka.

Suluhisho.
Aache kabisa kupiga punyeto, na hali yake itajirudia kama kawaida, kwani punyeto ina madhara sana kwa wanaume mojawapo ni haya ya kukojoa haraka nk.

3. Shughuli nyingi. Wanaume wengi wanaofanya kazi nyingi na kukosa muda wa kupumzika wanakabiliwa na tatatizo hili,

Suluhisho
Panga ratiba vizuri za kazi, na unapofanya tendo la ndoa hakikisha mwili wako upo vizuri yaani haujachoka sana.

pia mwanamke anaweza kumsaidia mwanamme kwa kumchochea kwa kuhusika katika mahaba kwa kumshika na kumsaidia katika kufanya ikiwa na maana kukatika.

Mwanamme afanye kwa kutegea awe na breki anapofanya aende taratibu hadi ahakikishe amefanya vya kutosha ndipo amwage.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/tatizo-la-wanaume-kuwahi-kumwaga-na.html

No comments:

Post a Comment