Friday, February 7, 2020

Sekta ya kubembeleza kwenye ndoa ni ya mwanamke na sio mwanaume

Image result for ZIJUWE, sifa za mwanaume mwenye mapenzi ya dhati!

Baada ya salamu nianze kwa kusema ya kuwa kuna wimbi kubwa la wanadada kudai kuwa eti wanaume wa siku hizi hawajui kubembeleza wanawake.

Hili suala miaka ya nyuma enzi za wazee wetu halikuwako kabisa bali wanawake ndo walikuwa wanafundwa hasa na kufundishwa namna ya kumbembeleza mume na kumlea vizuri.

Miaka ya sasa hivi kumekuja utandawazi kazi hiyo wanataka watukabidhi sisi wanaume, haiwezekani kutafuta wewe kutwa nzima unahangaika alafu ukirudi unakazi nyingine ya kumbembeleza mkeo si matatizo hayo?

Mwanaume sio mtu wa kubembeleza bali mwanaume ni mtu wa kubembelezwa yeye kwa sababu anapitia magumu na kufanya kazi mbalimbali ili mke ale so abembelezwe yeye ili apate faraja.

Ndio maana mwanamke akawa yeye ndo mbeba mimba, huwezi kulea mtoto kama hujui kubembeleza kamwe na mwanamke ndo kapewa mimba abebe kwa maana hata kubembeleza anajua

Mwanaume unatakiwa umhudumie mwanamke, akitaka kitu kama pesa usisite mnunulie afurahi na sio ukae uanze kumbembeleza mpaka kula.

Haya mambo yanachangia mpaka baadhi ya wanawake wanakuwa wavivu kitandani yeye anataka mpaka kuchange style umbembeleze wakati pale yeye ndo anatakiwa awe malaya haswa.

Wanawake usiingie kwenye ndoa ukawa na dhana hii ya kubembelezwa utakufa stress, mwanaume akiwa anabembeleza sana huyo anaigiza tu hatujaumbwa hivyo.

Sisi tuwe watu wa kutoa huduma haswa hiyo ndo sekta yetu msitubebeshe mizigo ya familia na kubembeleza pia.

Ukiangalia hata wanaume waliodata na michepuko sio kwamba hao wanaume wanadata kwa sababu wao ndo wanabembelezwa na kupetiwa laa hasha,wao wanadata na michepuko kwa sababu wao ndo wanabembelezwa na kupetiwa mwanaume anajiona kafika haswa

.ukienda kwa mkeo anataka wewe ndo umpeti wakati umechoka hapo kutoka kazini unahitaji liwazo.

Mwanamke habembelezwi.



source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/sekta-ya-kubembeleza-kwenye-ndoa-ni-ya.html

No comments:

Post a Comment