ππππππ
Jamani hili swala wengi wetu huwa twakosea,
ππππππ
Kwanza Mke LAZIMA ujitambue kuwa wewe ni pambo!!!
ππππππ
Usiwe natabia yakununa Nuna ovyo,wala usiwe unaficha mapenzi yako kwa mumeo,
πΉπΉπΉπΉπΉπΉ
Unatakiwa uonyeshe uhalisia wa penzi lako kwa mumeo!
πΉπΉπΉπΉπΉπΉ
Ukiwa hivyo hata kumuaga kwa kufanya haya yafuatayo haitakupa shida:
ππππππ
(1)PIKA CHAKULA AKIPENDACHO NYONGA MKALIA INI
2)JIPENDEZESHE MTOTO WAKIKE,KWA KILA AMBACHO UNAJUA KWAVYOVYOTE KITAMVUTIA MUME:
ππππππ
(3)ANDAA MAZINGIRA YA CHUMBANI VIZUURI;
ππππππ
(4)MUMEO AKIFIKA MPOKEE KWA MAPOKEZI MAZUURI,
KWA UJUMLA MALOVE DAVE YATAWALE:
ππππππ
5)MUACHE ACHAGUE KUKULA WEWE AU CHAKULA,BI MAANA UWE RAHIIM,
ππππππ
6)MWACHE AJIPUMZISHE KWA MUDA ILI KUONDOSHA MACHOVU YAKE;
ππππππ
(7)MUELEZE KAMA ULIKUWA UNAMAZUNGUMZO NAYEYE:
ππππππ
(8)USIKAE MBALI NAE ;
CHUKUA KICHWA CHAKE KWA MAPENZI UKILAZE JUU YA MAPAJA YAKO;
HUKU UKIMWAMBIA MANENO YENYE LADHA,;
ππππππ
WAWEZA MWAMBIA;
"HONEY NAPENDA KUWA KARIBU YAKO,KAMA MIFUPA NA NYAMA YAKO,NIUTULIZE MTIMA WAKO,NIPATE MAZUURI KUTOKA KWAKO,MASHA AALLAH NAIPENDA SURA YAKO,SIIONI KASORO YAKO;;
KISHA WAMPIGA KISS KATIKA PAJI LAKE:
ππππππ
(9)WAPAPASA KICHWA CHAKE KWA UTARTIIBU FURAAHA
MPA MANENO MAZUURII
ππππππ
HAPO SASA WAANZA KUMUOMBA RUHSA MPENZI WAKO,NAKUMUELEZA NIJINSI GANI UNAHITAJIA RUHSA KUTOKA KWAKE;
NA UMUELEZE KATIKA KUTOKA KWAKO HUKO UTAPITA WAPI NA WAPI NA WAPI;π
ππππππ
TARATIIB UKITUMIA UTARATIBU HUU BIIDHINI ALLAH HUTONYIMWA RUHSA NA UTAKUWA UMEMFURAHISHA NA HUTAMWACHA NA MACHUNGU BALI ATAKUWA MWENYE FURAAHA
ππππππ
UTAIJAZA GLASI MAHABBA;NAUTAYANYWA MWENYEWE!!π
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/leo-hebu-tuangalie-jinsi-ya-kuomba.html
No comments:
Post a Comment