Thursday, February 13, 2020

UKOMBOZI WA MIKONO YAKO


Mungu alipomuumba mwanadamu alimpa Mikono na akampa miguu na Mikono yenye maana ya umiliki wa Kazi zako yenye maana umiliki wa Pesa zako na yenye maana umiliki wa Kazi zako
Ndio maana Mungu akasema Ntaibariki kazi ya Mikono yako
Shetani anachokifanya analaani kazi za Mikono yako. Anafanya kinyume na Mungu na ndipo unaona unashika Fedha nyingi lakini huoni ukizifanyia MAENDELEO maana tayr Mikono yako imekamatwa
Wengine Mikono Yao imekamatwa kuwatumikia wengine n kwel unafanya kaz lakini kipato hupati wewe anapata MTU mwingine kabisaa ndio anafaidika
Wengine Mikono Yao imefungwa ukishika kitu lazima kiharibike umefika mahali ambako huwezi shika kitu unaishi Tu kuangalia wengine wakifanya kaz wewe unateseka Tu
Leo nimetumwa kwako kuikomboa Mikono yako
Kwenye Mikono ya watu wabaya ukombolewe uko
Kwenye magereza ya watu wabaya ukombolewe Huko
KWA JINA LA YESU KRISTO ALIYE HAI
Kama unatoka Huko sema nakombolewa Kwa Damu ya Yesu
Naona baada ya kukiri hivyo pamoja na mm Naona Mungu akiachilia nafasi mpya kwenye Mikono yako
Nahitaji watu wachache ambao watamaanisha Kwa Ujumbe Huu na Mungu atawashangaza hao watu
#Share na Mwenzako


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/ukombozi-wa-mikono-yako.html

No comments:

Post a Comment