Tuesday, February 11, 2020

sms Tamu za usiku


🌻
Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje.
Hodiiiiii, Hodiiiii,
Tunaomba tufungulie Mlango,, sisi tunaitwa FURAHA, AMANI na UPENDO. Tumebeba HEKIMA, BUSARA na MAFANIKIO. Tulikuwa wengi HURUMA na UPOLE wanakuja nyuma. CHUKI na WIVU hawana nauli. TABU ni mahututi. SHIDA yuko jela. MATATIZO amepigwa shoti ya umeme. MIKOSI amefariki njiani. LAANA ameliwa na mamba. UVIVU ameungua na maji ya moto hajiwezi. Tutakuwa nawe daima maana tumefika kwa NEEMA . Mungu akulinde na mabaya yote katika dunia hii. ucku mwema.
.........................
Tunda gani liwe mfano wako? Hamna ! Ladha gani ishinde ukarimu wako? Hamna! Ni nani nimfananishe na wewe? Hakuna! najickia furaha kukutakia uck mwema
.........................
Nakupenda sana .Tafadhali nionyeshe mapenzi ya kweli kila mara na sio kwa msimu. Ningependa unishike kila mara, uniguse, unikumbatie kila wakati. Mimi ni msaada mkubwa sana kwako, nibusu popote utapokuwa nami usiniogope hakuna mtu wa kukushangaa,, nichukue hata ukiwa safarini sitalipa nauli. Kwani sina gharama kwako, hata kwenye mfuko wako wa nguo nitakaa. Nitumie kila unapojihisi upo mpweke sitaacha kukupa faraja, ni mimi mpenzio wa ukweli 'QUR-AN,,NAKUTAKIA,,RAMADHANI,,KAREEM,,USIKU,,MWEMA!!!!
..............................
kila kilicho ""MOYONI"" si rahisi kukitoa,Akuthaminie Hukuona ""GHALI"",akukumbukae juwa amekuhifadhi ""MOYONI"" na ""AKUNPENDAE"" Hachoki Kukuombea ""MEMA ucku mwema hny.
...............................
>Nipo dukani nafikria nikununulie zawadi gani kubwa kuliko zote. >Nimeona "UPENDO" inavutia,
>pembeni nikaona tena "AMANI" inapendeza, >sijasogea nikaona "FURAHA" nikacheka nikabeba vyote, >nilipotaka kulipa mwenye duka kaniambia "MUNGU" keshanilipia, nami nimevituma kwako naomba uvipokee. Nakutakia ucku mwema!
.......................
Hongera umezawadiwa safari ya kwenda KULALA........


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/sms-tamu-za-usiku.html

No comments:

Post a Comment