Wednesday, February 5, 2020

Mwanaume ndio kiumbe wa kwanza kuwahi kuwepo ila cha ajabu sasa ni kuwa;Mwanamke ndiye mtu wa kwanza kuonana na kuongea na shetani ana kwa ana.


Tangu zama za Adamu mpaka leo mwanamke amekuwa chombo pekee kinachotumiwa na shetani,mwanamke ndiye amekuwa mtu wa karibu sana kuwa na shetani,na kutumiwa kwa ajili ya kupoteza na kuangamiza watumishi wa Mungu.
Ukiachana na Hawa na Delila pia kuna wanawake wengi sana ambao wamekuwa ni mto wa kutenganisha mahusiano kati ya mwanaume na Mungu wake.
Biblia pia imeeleza vitu vingi sana kuhusu wanawake na kutufunza jinsi ya kuishi nao.
Hata leo na hata sasa kumekuwa na uhusiano mzuri sana kati ya shetani na mwanamke,na ndio maana hata tukio hili la juzi la Mwampofe ukijaribu kumsema vibaya Mwampofe wengi watakao kushambulia ni wanawake,maana ndio baba yao katika imani yao potofu.
Ishi vizuri na kwa akili sana na mwanamke,maana yeye anaweza kuwa daraja la kukuvusha kutoka kwa Yesu Kristo mpaka kuzimu kwa shetani.
Mimi huwa nasema kuwa;bora kulala kitanda kimoja na Simba na nitalala bila wasi wasi,kuliko kulala na mwanamke.
Maana ukilala na Simba ukiwa na akiba ya nyama Simba akitaka kukula unamtupia nyama akila akashiba hana tena shida na wewe,ila ukilala na mwanamke hata umpe nini hawezi kuridhika.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/mwanaume-ndio-kiumbe-wa-kwanza-kuwahi.html

No comments:

Post a Comment