Monday, February 10, 2020

MWANAMKE ! Uwezi pata mume bora kwa kwenda kwenye makanisa ya upako na kupakwa mafuta kuombewa

MWANAMKE ! Uwezi pata mume bora kwa kwenda kwenye makanisa ya upako na kupakwa mafuta kuombewa ...sijui uchawi umekushika..
kumbe mchawi mwenyewe tabia mavazi na ukipata mwanaume kama umepata kazi au wanawake wengine wakipata mwanaume vyakula alivyokuwa anakula alivyokuwa single sasa basi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚anataka michemsho tu kumbe kalikuwa kako single kana kula ugali maharage..
fake life za wadada za chelewesha sana ndoa zaoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
makanisa ya kilokole ayawezi kukupa mume hata walokole wenyewe awawezi oa mweu badilika


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/mwanamke-uwezi-pata-mume-bora-kwa.html

No comments:

Post a Comment