Tuesday, February 11, 2020

MWANAMKE! SIO KILA SIKU MWANAUME NDOA AKUANZE

Eti Wanaume ndo wana takiwa kuanzisha first move (mchezo) sadly wanawake wengi bado mna hii mentality na wanaumiaa na hasira juu pale wenza wenu wasipo waanza katka tendo la ndoa, maskini its obvious uwa mnataka wenza wenu wawaone kuwa nyinyi ndo desirable, ndo mnawavutia, ... .
Nasema ivo sabb uwa napokea malalamiko mengi kuwa wenza wenu waliowengu amuazwi ,,,lakini niwambie kitu ambacho most of you don't realize.... 

Wanaume are so secretive, lakin nao wanataka wajisikie unavojisikia ww , wanataka wa feel desirable pia Wanaume awapendi kila siku waanzishe 1st move wao tu wanafurahia kuona na nyie mnakuwa na ujasiri wa kuwa anza chumbani ,, .
Kwaiyo ladies wacha kujikalisha kila siku kumsubiria akuje Ku sweep of Ur feet,, take charge and show him u know how to make him feel good #lady acheni ushamba umejiegesha tu kama gari linasubiri kubeba kokoto/wanaume wanapendwa kunzwa pia kwenye 18..akiona kila siku yeye ndiye anayeanza kuku swipe ataahisi labda hana mvuto/afu hii inaboa...kibonde nakukumbusha tu kuwa muda mwingine anza kuchangisha karata mwenyewe sio kila siku mchezo auzishe yeye...lady mnakwama wapi #kibonde


ounsellor



source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/mwanamke-sio-kila-siku-mwanaume-ndoa.html

No comments:

Post a Comment